Utakuwa unasafisha mabanda ya mburuNajiuliza ule mda niliokua nakaa bar nitaufanyia nin
Subiri waje nitangaze niaOa mmoja hapo unasubiri nini
Hahaha sasa mjin hayo yapo wap?Utakuwa unasafisha mabanda ya mburu
Ni matumizi mabaya sana ya pongezi.Nipongezeee kwa hatua niliofikia mamiii
Basi uwe unakuja kunifanyia usafi ndani ili kukukipu biziHahaha sasa mjin hayo yapo wap?
HongeraMimi Hazard CFC nikiwa na akili zangu timamu bila kulazimishwa na yoyote bila kua na hangover natangaza rasmi kupumzika kunywa pombe za wingi(za bar na makapani yakishenzi) mpaka pale nitakapo tangaza tena...nitakua na chupa yangu moja ya whiskey na wine ndani kila baada ya mlo wa ucku nitakunywa a glass of wine/whiskey na sio chupa la whiskey kama ilivyo sasa na kipindi cha nyuma...
Maisha yafaa nini bila pombe?? Pombe ni uhai
Najua ni ngumu ila nitajitahidi kuyatekeleza maamuzi yangu haya ya kijinga kabisa kuwahi kufanya toka nizaliwe
Happy new year wakuu
Pombe za marafiki za bar zinachangia umaskini.Pombe imekufanyia nn tuambie na sisi huenda tukabadilika
ule muda tuliotumia bar kwa sasa tutaufanyia nin mkuu? Au tuende tuwe tunakunywa baltika
Nakubali..naomba nianze leoBasi uwe unakuja kunifanyia usafi ndani ili kukukipu bizi
Khaaaah..Ni matumizi mabaya sana ya pongezi.
Unahitaji viboko vikuamshe kutoka usingizini
Ni kwelPombe za marafiki za bar zinachangia umaskini.
Unaweza maliza milioni moja kwa usiku mmoja bila shida.
Hali ya kuwa ni mfanyakazi wa kawaida yaani sio tajiri.
Njoo uanze kazi sasa hivi mwananguNakubali..naomba nianze leo
Hana CashMaisha yafaa nini bila pombe?
Ukiwa ndani hua anavaa mavazi gani? hilo shape nisije nikapitiwa na shetwaniiNjoo uanze kazi sasa hivi mwanangu
Ni ngumuMaji yanapanda mlima
Kwa muda nilioishi kwenye ulevi pesa sio sababu ya kuacha pombe...kuna bar nakunywa nalipa mwisho wa mwezi pia mimi naziuza hizo hizo pombeHana Cash
Mbaazi Ukikosa Maua Husingizia Jua
[emoji3][emoji16][emoji23][emoji1787][emoji2][emoji1][emoji28][emoji1][emoji2][emoji1787][emoji23][emoji16][emoji3][emoji38]
Huwa navaaga kaniki.Mimi mwenyewe shetwani tutapitiana tu..tena tukiwa vyombo tunamsingizia shetani pombe..sisi shetwani watu tunakaa pembeni π§ββοΈπ§ββοΈπ§ββοΈπ§ββοΈUkiwa ndani hua anavaa mavazi gani? hilo shape nisije nikapitiwa na shetwanii
Pisi kali kakupiga mk.wara. Kweli hakuna mkate mgumu mbele ya chaiKwa muda nilioishi kwenye ulevi pesa sio sababu ya kuacha pombe...kuna bar nakunywa nalipa mwisho wa mwezi pia mimi naziuza hizo hizo pombe