Natangaza kuacha pombe rasmi 2021

Natangaza kuacha pombe rasmi 2021

Mimi Hazard CFC nikiwa na akili zangu timamu bila kulazimishwa na yoyote bila kua na hangover natangaza rasmi kupumzika kunywa pombe za wingi(za bar na makapani yakishenzi) mpaka pale nitakapo tangaza tena...nitakua na chupa yangu moja ya whiskey na wine ndani kila baada ya mlo wa ucku nitakunywa a glass of wine/whiskey na sio chupa la whiskey kama ilivyo sasa na kipindi cha nyuma...

Maisha yafaa nini bila pombe?? Pombe ni uhai

Najua ni ngumu ila nitajitahidi kuyatekeleza maamuzi yangu haya ya kijinga kabisa kuwahi kufanya toka nizaliwe

Happy new year wakuu
Hongera
 
"maisha yafaa nini bila pombe"😂😂😂😂 drink responsibly!
 
Hana Cash
Mbaazi Ukikosa Maua Husingizia Jua
[emoji3][emoji16][emoji23][emoji1787][emoji2][emoji1][emoji28][emoji1][emoji2][emoji1787][emoji23][emoji16][emoji3][emoji38]
Kwa muda nilioishi kwenye ulevi pesa sio sababu ya kuacha pombe...kuna bar nakunywa nalipa mwisho wa mwezi pia mimi naziuza hizo hizo pombe
 
Ukiwa ndani hua anavaa mavazi gani? hilo shape nisije nikapitiwa na shetwanii
Huwa navaaga kaniki.Mimi mwenyewe shetwani tutapitiana tu..tena tukiwa vyombo tunamsingizia shetani pombe..sisi shetwani watu tunakaa pembeni 🧚‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️
 
Back
Top Bottom