Mndamba Namba 1
Senior Member
- Oct 19, 2010
- 113
- 3
Point of correction ,wakuu hawa wabunge wetu wateule tusiwaite mabos wa vibopa wa obey wala masaki au UD bali ni watumishi wa wa wanachi majimboni si unajua tumechagua watutumikie?hiyo ndo dhana ya uwajibikaji na uadilifu,tuwaache upande wa pili wajinasibu kwa ubosi ili baade tuwatose.