Natangaza kuiunga mkono CHADEMA katika maisha yangu yote yaliyosalia hapa duniani, Mungu nisaidie

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Mimi ni kijana Mzaliwa wa Tanzania mwenye kipato cha juu ( Tajiri ) , nimeamua kuichagua chadema kati ya utitiri wa vyama uliopo katika nchi yetu, nitaiunga mkono na kuipigania bila kuvunja katiba ya nchi .

Nimevutiwa na kushawishiwa na mipango ya chama hiki , shortly , hiki ni chama imara kisichotikisika na chenye nia ya kweli ya kuleta mabadiliko , nafahamu kwenye kila jambo there is HILLS and VALLEY , Hata hivyo mimi kama binadamu mwenye ubongo na akili nimeamua kukabiliana na changamoto za ndani na nje ya chadema .

Naahidi ushirikiano uliotukuka , Eee Mwenyezi Mungu nisaidie.

Mungu ibariki Chadema .
 
MwanaDiwani Lizaboni TataMadiba
 

Lower your expectations and live happier life... siasa si sayansi inanyumbuka utaumia kijana
 
Hongera Erythrocyte kwa kujitambua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…