Ghosryder
JF-Expert Member
- Jul 6, 2014
- 10,403
- 4,373
Mungu yupi?Karibu mkuu na Mungu akubariki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu yupi?Karibu mkuu na Mungu akubariki
Nani anakujua we tajiri?Mimi ni kijana Mzaliwa wa Tanzania mwenye kipato cha juu ( Tajiri ) , nimeamua kuichagua chadema kati ya utitiri wa vyama uliopo katika nchi yetu, nitaiunga mkono na kuipigania bila kuvunja katiba ya nchi .
Nimevutiwa na kushawishiwa na mipango ya chama hiki , shortly , hiki ni chama imara kisichotikisika na chenye nia ya kweli ya kuleta mabadiliko , nafahamu kwenye kila jambo there is HILLS and VALLEY , Hata hivyo mimi kama binadamu mwenye ubongo na akili nimeamua kukabiliana na changamoto za ndani na nje ya chadema .
Naahidi ushirikiano uliotukuka , Eee Mwenyezi Mungu nisaidie.
Mungu ibariki Chadema .
wewe ni tajiri au una hela tu ya kubadilisha mboga? unadhani matajiri huwa wanaasem?Mimi ni kijana Mzaliwa wa Tanzania mwenye kipato cha juu ( Tajiri ) , nimeamua kuichagua chadema kati ya utitiri wa vyama uliopo katika nchi yetu, nitaiunga mkono na kuipigania bila kuvunja katiba ya nchi .
Nimevutiwa na kushawishiwa na mipango ya chama hiki , shortly , hiki ni chama imara kisichotikisika na chenye nia ya kweli ya kuleta mabadiliko , nafahamu kwenye kila jambo there is HILLS and VALLEY , Hata hivyo mimi kama binadamu mwenye ubongo na akili nimeamua kukabiliana na changamoto za ndani na nje ya chadema .
Naahidi ushirikiano uliotukuka , Eee Mwenyezi Mungu nisaidie.
Mungu ibariki Chadema .
Ndiye tajiri pekee unayemjua?Hahahaha eti tajiri kwani wee mooo
Asubiri mingine 50 kama bado atakuwa haiKumbe miaka 50 plus ya kuwa msukule bado tu hakijaeleweka?
[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Mimi ni kijana Mzaliwa wa Tanzania mwenye kipato cha juu ( Tajiri ) , nimeamua kuichagua chadema kati ya utitiri wa vyama uliopo katika nchi yetu, nitaiunga mkono na kuipigania bila kuvunja katiba ya nchi .
Nimevutiwa na kushawishiwa na mipango ya chama hiki , shortly , hiki ni chama imara kisichotikisika na chenye nia ya kweli ya kuleta mabadiliko , nafahamu kwenye kila jambo there is HILLS and VALLEY , Hata hivyo mimi kama binadamu mwenye ubongo na akili nimeamua kukabiliana na changamoto za ndani na nje ya chadema .
Naahidi ushirikiano uliotukuka , Eee Mwenyezi Mungu nisaidie.
Mungu ibariki Chadema .
Sikuipa chadema muda wangu wote , sasa ndio nimekata shauri .kan mwanzon ulikuwa ukisapot chama gan...???
Hayo yote yanafahamika , nisome vizuri .Only fools can assume complete certainty, wise people leave room for uncertainty.
Nimefurahishwa na neno la TAJIRI UCHWARA .Nani anakujua we tajiri?
Tangia hapo ulikuwa chadema,kafie hukohuko na utajiri wako uchwara.