Mla ruzuku toka lini uhame chama?Yeah ! Ni kwamba sikuchukua uamuzi huu kwa kununuliwa , maana ninao uwezo wa kujikimu ,
Pia ikumbukwe kuwa hii si mara yangu ya kwanza kuwa chadema , bali sasa nimeamua kuwa chadema milele .
Mwenye kipato cha juu ambacho ni halaliKijana Tajiri...!
Ukiona kijana tajiri yuko Chadema kipindi hiki cha Magufuli nipigie picha niwekee hapa si rahisi kumpata.Wengi wamefilisika na hawana hamu na siasa.Hawachangii Chadema tena na wameapa hawaji changia wala kupigia kura Chadema. Matajiri wameihama Chadema take it from meMwenye kipato cha juu ambacho ni halali
Kwani una list yaoUkiona kijana tajiri yuko Chadema kipindi hiki cha Magufuli nipigie picha niwekee hapa si rahisi kumpata.Wengi wamefilisika na hawana hamu na siasa.Hawachangii Chadema tena na wameapa hawaji changia wala kupigia kura Chadema. Matajiri wameihama Chadema take it from me
Ni kweli , lakini akiba si lazima
Uongo utakusaidia nini ? Mtu anayemiliki hotel ya nyota 5 na mlipa kodi wa kutupwa Magufuli atamfanya nini ? Nyie endeleeni kudhulumu ng'ombe na kuua vifaranga vya wakenya tu .Ukiona kijana tajiri yuko Chadema kipindi hiki cha Magufuli nipigie picha niwekee hapa si rahisi kumpata.Wengi wamefilisika na hawana hamu na siasa.Hawachangii Chadema tena na wameapa hawaji changia wala kupigia kura Chadema. Matajiri wameihama Chadema take it from me
[emoji106] [emoji106] [emoji419] [emoji419]Umechagua fungu lililo jema ila kumbuka kauli ni kama kiapo
Kwani wakati huo alikuwa ameshtakiwa ?Unajua kwanini mpaka leo Lowassa hajashitakiwa ?
Jibu murua sana kwa huyo akili ndogo, watu wa namna hii wanamwona uchwara kama Mungu mtu kumbe sifuri kuanzia kichwani na kwingine kooteUongo utakusaidia nini ? Mtu anayemiliki hotel ya nyota 5 na mlipa kodi wa kutupwa Magufuli atamfanya nini ? Nyie endeleeni kudhulumu ng'ombe na kuua vifaranga vya wakenya tu .
Tutaendelea kuwafungua vichwa hadi waelewe .Jibu murua sana kwa huyo akili ndogo, watu wa namna hii wanamwona uchwara kama Mungu mtu kumbe sifuri kuanzia kichwani na kwingine koote
Subiri kulogwa .Mimi hukuhuku CCM mpaka kieleweke.
Lete bank statement au evidence yyt ya mtu kanunuliwaPamoja na nunua nunua msimamo huu hautabadilika kamwe .
Ni aibu sana kumnunua mbunge kwa hela ya madafu 300 ml , huku akina mama wajawazito wakiagizwa pamba na gloves kwa ajili ya kujifungua.Lete bank statement au evidence yyt ya mtu kanunuliwa
Mmeishiwa sera nyie
Siyo Moo.Ni tajiri wa Roho. Una lingine?Hahahaha eti tajiri kwani wee mooo
Utajiri ni raha sana , usiombe !Tajir gani mda wote yupo mtandaoni akijibizana mambo ya siasa tangu asubuh mpak usku wa manane daily....huo utajir ni wa ngada...au wa kurithi...na inawezekana ni changa la macho