Natangaza kuiunga mkono CHADEMA katika maisha yangu yote yaliyosalia hapa duniani, Mungu nisaidie

Yeah ! Ni kwamba sikuchukua uamuzi huu kwa kununuliwa , maana ninao uwezo wa kujikimu ,

Pia ikumbukwe kuwa hii si mara yangu ya kwanza kuwa chadema , bali sasa nimeamua kuwa chadema milele .
Mla ruzuku toka lini uhame chama?
 
Mwenye kipato cha juu ambacho ni halali
Ukiona kijana tajiri yuko Chadema kipindi hiki cha Magufuli nipigie picha niwekee hapa si rahisi kumpata.Wengi wamefilisika na hawana hamu na siasa.Hawachangii Chadema tena na wameapa hawaji changia wala kupigia kura Chadema. Matajiri wameihama Chadema take it from me
 
Kwani una list yao
 
Uongo utakusaidia nini ? Mtu anayemiliki hotel ya nyota 5 na mlipa kodi wa kutupwa Magufuli atamfanya nini ? Nyie endeleeni kudhulumu ng'ombe na kuua vifaranga vya wakenya tu .
 
Jibu murua sana kwa huyo akili ndogo, watu wa namna hii wanamwona uchwara kama Mungu mtu kumbe sifuri kuanzia kichwani na kwingine koote
 
Tutaendelea kuwafungua vichwa hadi waelewe .
 
Na mimi nakuunga mkono [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
 
Haya safar njm
Ila kaa na mtungi wa Oksijeni pembeni
Maana MAGU anapiga mabomba hatari
 
Lete bank statement au evidence yyt ya mtu kanunuliwa
Mmeishiwa sera nyie
Ni aibu sana kumnunua mbunge kwa hela ya madafu 300 ml , huku akina mama wajawazito wakiagizwa pamba na gloves kwa ajili ya kujifungua.
 
Tajir gani mda wote yupo mtandaoni akijibizana mambo ya siasa tangu asubuh mpak usku wa manane daily....huo utajir ni wa ngada...au wa kurithi...na inawezekana ni changa la macho
 
Utajiri ni raha sana , usiombe !
 
Back
Top Bottom