Natangaza kuiunga mkono CHADEMA katika maisha yangu yote yaliyosalia hapa duniani, Mungu nisaidie

Mimi ni kijana Mzaliwa wa Tanzania mwenye kipato cha juu ( Tajiri ) , nimeamua kuichagua chadema kati ya utitiri wa vyama uliopo katika nchi yetu, nitaiunga mkono na kuipigania bila kuvunja katiba ya nchi .

Nimevutiwa na kushawishiwa na mipango ya chama hiki , shortly , hiki ni chama imara kisichotikisika na chenye nia ya kweli ya kuleta mabadiliko , nafahamu kwenye kila jambo there is HILLS and VALLEY , Hata hivyo mimi kama binadamu mwenye ubongo na akili nimeamua kukabiliana na changamoto za ndani na nje ya chadema .

Naahidi ushirikiano uliotukuka , Eee Mwenyezi Mungu nisaidie.

Mungu ibariki Chadema .
Hata makamanda akina Halima walinunuliwa....just a matter of time...never say never, weka akiba ya maneno!
 
Mimi ni kijana Mzaliwa wa Tanzania mwenye kipato cha juu ( Tajiri ) , nimeamua kuichagua chadema kati ya utitiri wa vyama uliopo katika nchi yetu, nitaiunga mkono na kuipigania bila kuvunja katiba ya nchi .

Nimevutiwa na kushawishiwa na mipango ya chama hiki , shortly , hiki ni chama imara kisichotikisika na chenye nia ya kweli ya kuleta mabadiliko , nafahamu kwenye kila jambo there is HILLS and VALLEY , Hata hivyo mimi kama binadamu mwenye ubongo na akili nimeamua kukabiliana na changamoto za ndani na nje ya chadema .

Naahidi ushirikiano uliotukuka , Eee Mwenyezi Mungu nisaidie.

Mungu ibariki Chadema .
PAMOJA DAIMA
 
Mimi naunga mkono upinzani tu. Kiasi kwamba hata Chadema wakishika Dola na kuwatoa CCM madarakani ntaanza kuwaunga mkono CCM .[emoji16][emoji16]

Napenda sana anaeleda hoja mbadala/Mawazo kinzani
 
umejidhalilisha sana, pumbavu
Hakuna tajiri anayejidhalilisha , cha ajabu sasa , baada ya nadhiri hii Utajiri wangu umeongezeka mara dufu !

Hakika Chadema ni Mpango wa Mungu

Swali : ile simu uliyonyang'anywa na wale waliokununulia imerejeshwa ?
 
Sijawahi kuona mnyakyusa fala kama wewe, tutakupiga marufuku usikanyage kyela
 
Hahahaha eti tajiri kwani wee mooo
Kwani utajiri ni nini!!?
Mimi nina bus za mikoani 4, fuso 3, "vichanja" viwili, mashamba nane(hekari 16200),lodges (1* mpaka 3* saba), nyumba za kupangisha 17.
Je mimi ni tajiri au sio tajiri!?
Kama ni tajiri,kwani namfikia "mooo" wako!!??

Ni masikini wa shukrani, akili na elimu pekee ambaye anaweza kujivunia umasikini.

Utajiri ni neema,na kukiri kuwa u tajiri ni ibada ya sifa na shukrani kwa yule atoaye utajiri na kila kilicho chema, yaani Mungu Baba wa Mbinguni.

Umasikini ni laana. Kujisifia kuwa wewe ni masikini ni kutomshukuru Mungu kwa kukuumba kwa mfano wake.

Maana yake ni kumwambia Mungu kuwa wewe si mfano wake.
 
Hakika
 
Mimi ni kijana Mzaliwa wa Tanzania mwenye kipato cha juu ( Tajiri ) , nimeamua kuichagua chadema kati ya utitiri wa vyama uliopo katika nchi yetu, nitaiunga mkono na kuipigania bila kuvunja katiba ya nchi .

Nimevutiwa na kushawishiwa na mipango ya chama hiki , shortly , hiki ni chama imara kisichotikisika na chenye nia ya kweli ya kuleta mabadiliko , nafahamu kwenye kila jambo there is HILLS and VALLEY , Hata hivyo mimi kama binadamu mwenye ubongo na akili nimeamua kukabiliana na changamoto za ndani na nje ya chadema .

Naahidi ushirikiano uliotukuka , Eee Mwenyezi Mungu nisaidie.

Mungu ibariki Chadema .
Ulichagua Tunda Jema
 
Back
Top Bottom