Natangaza kuiunga mkono CHADEMA katika maisha yangu yote yaliyosalia hapa duniani, Mungu nisaidie

Nani anakujua we tajiri?
Tangia hapo ulikuwa chadema,kafie hukohuko na utajiri wako uchwara.
 
Safi sana,pigana hapo ktka kata yako,jimboni kwako na mtaa wako kisha taifa,yote tuhakikishe hawa wezi wanaondoka.
 
wewe ni tajiri au una hela tu ya kubadilisha mboga? unadhani matajiri huwa wanaasem?
 
Only fools can assume complete certainty, wise people leave room for uncertainty.
 
[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…