huna fact umeishiwa na swaga.
weka. Naona wantafuta na bila shaka utapata :ban:
Hata TV sijaangalia.....!! :A S-cry:
Dah mi hata la kusema sina.... I just wan't my sis to be happy... So wacha nitazame tu kwanza and Safe...
unajua watu wakikosa cha kufanya ndio wanatafuta makosa ya wenzako. manoahUnataka uwepo kwenye kamati gani?
Naona hautaki mke wewe,unajua huyu yupo kwenye panel ya kupokea mahari akisimama kama baba mdogo wa Marry Hunbig?
Haya na wewe malizia kula,unywe maji,ukakojoe ukalale,haya mambo ya wakubwa hayakuhusu.
huna fact umeishiwa na swaga.
Katuni zilishaisha toka saa 11 jioni
Unamwitaje mkwe wako?
Kimya we?? Unamwitaje baba yako mdogo?
Mambo poa mpz!