Natangaza kumchumbia Mary Hunbag.....

Huyu mtoto angekua na nidhamu angeomba radhi kama mkosaji, mbona Zito alipokosea alituomba msamaha na tuka msamehe?
 
Last edited by a moderator:
stevoh shika adabu yako sawa bwana mdogo? Utapelekwa mabwe pande ukiendelea na ujeuri wako, msaada ninao kupa omba msamaha! Swali simple kwako unapo kuwa na mke nyie mnakua mwili mmoja. Je? Haiwezekani kumsahau mkeo kumpatia huduma muhimu, kama leo tu umekosea hata jina lake.
unazunguka pori nyooka kwenye point.
 
Last edited by a moderator:
Kwani mie nataka kuku vulugia? Mie, nakufumbua macho unazama kwenye tope live, kama ushaidi mdogo tu nimekupa na nina evidence nyingi tu Marry Hunbig

Wewe hakuna suala kama hilo!
Hadi unaona nimemkubali stevoh,jua nimempima na kumchekecha na amepimika!!!
He is my best husband to be!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…