Zero One Two
JF-Expert Member
- Sep 16, 2007
- 9,346
- 3,033
Mie najitahidi sana kuficha mambo ya nyumbani kwetu lakini naona ulcers zitaniua buree......Ndio nimeshamuambia hivyo.......
Wewe hakuna suala kama hilo!
Hadi unaona nimemkubali stevoh,jua nimempima na kumchekecha na amepimika!!!
He is my best husband to be!
Nimechoka kufedheheshwa... Hata mie nina moyo wa nyama....
nipo tayar mie.
Mie najitahidi sana kuficha mambo ya nyumbani kwetu lakini naona ulcers zitaniua buree......Ndio nimeshamuambia hivyo.......