Woga tupa kulee
JF-Expert Member
- Sep 4, 2012
- 1,749
- 1,312
My wife to be uko wapi nataka kutuma watu walete posa na mahar sasa tuende kwa nani maana umemkana mjomba na baba mdogo wako. Au tumpe shemeji yangu mdogo Donn??
My wife to be uko wapi nataka kutuma watu walete posa na mahar sasa tuende kwa nani maana umemkana mjomba na baba mdogo wako. Au tumpe shemeji yangu mdogo Donn??
ma hubby,peleka kwa ma' mdogo Mamndenyi na ba' mdogo Vin Diesel.
Salamu wakuu,
heshima kwenu. Hili jambo ni la siku nyingi nimekua naliwaza ila leo inanibidi nitangaze kuwa nipo ninamchumbia Mtajwa hapo juu Mary Hanbig
Natangaza rasmi kuweka wazi kuwa nimekua nikimchumbia kigori huyu kwa muda sasa na nadhani baadhi ya member walishasikia harufu ya uhusiano wetu wa karibu.
Natangaza tena muda si mrefu tutatangaza ndoa. Na mwenye kipingamizi apeleke malalamiko yake kwenye kamati ya mahusiano na ndoa inayoongozwa na Baba V na wasaidizi wake.
Natoa nafasi kuwa naanza kupokea barua kwa wanaotaka kuwa washenga wangu.
Copy kwa wafwatao
chimbuvu, Erick52, mzizimkavu, watu8, mamndenyi, madame B, zion daughter, slave, c6, Babu Asprin, Baba V, nitonye, mungi, Bishanga Arabela, Arushaone, Vin Disel, manoah, Filipo. Bro mkubwa Mr. Rocky
Topic Closed
manoah
Halafu wewe...mi nakuangalia tu,we endelea!!
manoah upi huo?
Vin Diesel na Arushaone nimecopy na nitayafanyia kazi baada ya tarehe 26 Jan (White Party)....
ulikuwa ufahamu kuwa mm ni Mama Mchungaji na muulize kaka yangu Erickb52, na Mr Rocky watakuambia na wewe stevoh nani amekuruhusu unitangaze humu kuwa mm ni mama Paroko? acha nipasue jipu hapa hapa ili Marry Hunbig ajue kuwa wewe nakudai zaka hujatoa huu mwezi wa kumi sasa kwanini lakini umekuwa mwizi wa fungul la kumi wewe kijana? acha kwenda kunywea pombe mali ya Mungu wewe.... mrudie muumba wako njoo parokiani wewe utubu
kwani wewe ni mtoa pumziko la nafsi au? Vin Diesel