Yewooo.... stevoh unataka kumchumbia my sista Marry Hunbig bila Brother kupata fununu b4.... !!!! Hunbig not Hunbug
hayo ndiyo maneno bro. Nakuachia uunde kamati kuanzia maandalizi ya mahari, sendoff nimempa charminglady uwasiliane nae, harusi mpaka FUNGATE.
hayo ndio maneno mama ila embu jibu tuhuma za Filipo na bro wangu Mr. Rocky.
akwizabest!!!olizebest!!!!!!!
Ila usisahau kutuita kwenye ubwabwa....
duh hayo madaraka ya Baba V siyataki aise yeye ndio mwenyekiti wacha aise aje atangaze
hahahaha hayaa shemeji sikua nimekujua samawani kwa hilo. Ila ujumbe umefika.
hapo nami sasa nadhibitisha kupata copy yako stevoh hongera Marry Hunbig
Vin Diesel amekua kirusi zaidi ya kirusi chenyeweE bwana Mr Rocky simamia kila kitu ukiwasiliana na maharusi, mie niko busy sana kum control kirusi mmoja anaitwa Vin Diesel anahatarisha ndoa za watu. nitakapohitajika nitatoa ushirikiano na ushikiliano