Woga tupa kulee
JF-Expert Member
- Sep 4, 2012
- 1,749
- 1,312
E bwana Mr Rocky simamia kila kitu ukiwasiliana na maharusi, mie niko busy sana kum control kirusi mmoja anaitwa Vin Diesel anahatarisha ndoa za watu. nitakapohitajika nitatoa ushirikiano na ushikiliano
hapo nami sasa nadhibitisha kupata copy yako stevoh hongera Marry Hunbig
Baba V una mscan kwa ant virus ipi?????E bwana Mr Rocky simamia kila kitu ukiwasiliana na maharusi, mie niko busy sana kum control kirusi mmoja anaitwa Vin Diesel anahatarisha ndoa za watu. nitakapohitajika nitatoa ushirikiano na ushikiliano
Sasa Baba V tafadhali usiende kule kwa Politics... Usije potezwa kama wakati wa Slave na Evelyn Salt
Vin Diesel boar unyamaze kimya usije tuu ukatoa siri kuwa ulishawahi kuwa na Marry Hunbig itakuw abalaa jingine kwa stevoh
Vin Diesel boar unyamaze kimya usije tuu ukatoa siri kuwa ulishawahi kuwa na Marry Hunbig itakuw abalaa jingine kwa stevoh
halafu nikisema wewe ndo mwenyekiti wa penda penda club Erickb52 anasingiziwa unakataa
copy kwa Mungi
Sema tuu...Hata kanisani matangazo ya ndoa hutangazwa kwa wiki tatu ili mwenyekipingamizi atoe..
Vin Diesel mbona sijasema lolote hapo naona unanisingizia banaMr Rocky usitake kunipa kesi hapa....mie sijasema lolote hapa.
namfatilia hadi huko, akiandika kwa ukali namwambia aedit!!!!
Sina kipingamizi
Naunga mkono hoja kwa asilimia laki 9....
Vin Diesel mbona sijasema lolote hapo naona unanisingizia bana