Vin Diesel naunga mkono hoja ya ndoa ya stevoh na Marry Hunbig
na iheshimiwe na watu wote akina Erickb52, Filipo, Arushaone, Mungi, Baba V
Vin Diesel boar unyamaze kimya usije tuu ukatoa siri kuwa ulishawahi kuwa na Marry Hunbig itakuw abalaa jingine kwa stevoh
halafu nikisema wewe ndo mwenyekiti wa penda penda club Erickb52 anasingiziwa unakataa
copy kwa Mungi
Nikisema hapa stevoh atapata konkasheni...
LiverpoolFC kahamia lile jukwa la chini kabisa ambalo unahitaji kibali kuingia huku hataki stress wala ninimwambie huyo naona hajui majembe yake. NITAFUTIE Liverpoolfc
Na mtajibeba mwaka huu,eti nimewahi kuwa na Vin Diesel,wee!!
Mwanaume mwenye hadhi ya kuwa na mimi ni stevoh pekee!!
Marry Hunbig mambo! Unajua nakupenda sana!
Na mtajibeba mwaka huu,eti nimewahi kuwa na Vin Diesel,wee!!
Mwanaume mwenye hadhi ya kuwa na mimi ni stevoh pekee!!
LiverpoolFC kahamia lile jukwa la chini kabisa ambalo unahitaji kibali kuingia huku hataki stress wala nini
Marry Hunbig mambo! Unajua nakupenda sana!
Tangazo hili nimelipata ila nina mpango flani hivi na Marry Hunbig . . . . nataka nimfundishe awe mke wetu kama Madame B. Atainjoi sana kama mwenzake. Nadhani stevoh umenipata.
duuuh kanitafutie bhana nataka ausike na yeye!
embu wasute kidogo. Umemwona mama mchungaji ladyfurahia
Vin Diesel anampango gani na mpunga wa mwaka huu? mwambie kuwa makini asee machalii tuna hasira kha!
hayo maneno. Asije kutuchafulia hali ya hewa.
Mungi niaje babangu chaliii ya Arusha Vin Diesel hajui kuwa machalii wana hasira mbaya tena wamevuta cha arusha hawajui kusini wala kaskazini aise
Halafu hajui stevoh nae ni chalii ya arusha
Hee...kumbe ladyfurahia ni mama mchungaji eeh?
Wakati mwavuta mabange yenu sie twapakata wake zenu...ha ha ha..