Thankx Lizzy,nimefanya marekebisho ngoja nkutafutie mate wako.
Naomba nikae kimya kwa sasa.Umeridhika na mpendwa wako au Lizzy ndo ile kitu roho napenda???
Kubariki ndoa!?Kati ya Uporoto na Cheusi Mangala, Max Melo na Miss Judith, Mama Groly na Dr Phone, Afrodenzi na Nyani Ngabu, Buji Buji na Blackberry.
Kwa maelezo zaidi M-Pm Rev Masa ambaye atabariki ndoa hizo pia Natangaza ndoa kati ya Faiza Foxy na Mohamed Shossi, kwa maelezo zaidi M-Pm Sheikh Malaria Sugu (MS) ambaye atasimamia ndoa hiyo.
Ndoa zote zitafungwa hivi karibuni, nafasi za wanakamati ziko wazi na wana MMU mnaruhusiwa kugombea.
Long live JF married.
mmmmhhhhh
Hivi Mbuzi na Simba wanaruhusiwa
kulala zizi moja daaahhh hhhhhh
Kati ya Uporoto na Cheusi Mangala, Max Melo na Miss Judith, Mama Groly na Dr Phone, Afrodenzi na Nyani Ngabu, Buji Buji na Blackberry.
Kwa maelezo zaidi M-Pm Rev Masa ambaye atabariki ndoa hizo pia Natangaza ndoa kati ya Faiza Foxy na Mohamed Shossi, kwa maelezo zaidi M-Pm Sheikh Malaria Sugu (MS) ambaye atasimamia ndoa hiyo.
Ndoa zote zitafungwa hivi karibuni, nafasi za wanakamati ziko wazi na wana MMU mnaruhusiwa kugombea.
Long live JF married.
Weee Afrodenzi...
mmmhhhh
sema Nyani Ngabu
Hivi kweli hii ndoa itakubalika??
au tubaki tu kama tulivyo ......