Natangaza Ndoa

Natangaza Ndoa

Digaller

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2009
Posts
798
Reaction score
541
Kati ya Uporoto na Cheusi Mangala, Max Melo na Miss Judith, Mama Groly na Dr Phone, Afrodenzi na Nyani Ngabu, Buji Buji na Blackberry.
Kwa maelezo zaidi M-Pm Rev Masa ambaye atabariki ndoa hizo pia Natangaza ndoa kati ya Faiza Foxy na Mohamed Shossi, kwa maelezo zaidi M-Pm Sheikh Malaria Sugu (MS) ambaye atasimamia ndoa hiyo.

Ndoa zote zitafungwa hivi karibuni, nafasi za wanakamati ziko wazi na wana MMU mnaruhusiwa kugombea.

Long live JF married.
 
Hahhahahaha....ngoja wenye vipingamizi waje mi sitii neno zaidi ya kusema Uporoto ni mali ya CheusiMangala!
 
Thankx Lizzy,nimefanya marekebisho ngoja nkutafutie mate wako.
 
mmmmhhhhh
Hivi Mbuzi na Simba wanaruhusiwa
kulala zizi moja daaahhh hhhhhh

bwabwa vipi mbona umemsahau?nimesikia ana mpango wa ku adopt mtoto kama sir elton john!
 
haya bwana,application za kamati tunatuma kwa nani?? ha ha ha ha kuna ndoa hapo naitamani sana kuishuhudia!!!
 
Kati ya Uporoto na Cheusi Mangala, Max Melo na Miss Judith, Mama Groly na Dr Phone, Afrodenzi na Nyani Ngabu, Buji Buji na Blackberry.
Kwa maelezo zaidi M-Pm Rev Masa ambaye atabariki ndoa hizo pia Natangaza ndoa kati ya Faiza Foxy na Mohamed Shossi, kwa maelezo zaidi M-Pm Sheikh Malaria Sugu (MS) ambaye atasimamia ndoa hiyo.

Ndoa zote zitafungwa hivi karibuni, nafasi za wanakamati ziko wazi na wana MMU mnaruhusiwa kugombea.

Long live JF married.
Kubariki ndoa!?
 
ngoja Max aione hii, utapigwa ban la maisha wewe, shauri yako!!
 
mkuu mbona zingine umetangaza za jinsia moja kumbe mchungaji ni wakanisa lileeeee!
 
Ndo maana kutafuta mchumba mitaa hii headache. Kuna miwatu nilijua ni ke sasa naona wapo kwenye me.
 
nyani ngabu umenizidi ujanja! Mi nitakua kamati ya mapokezi huko naweza mpata mpenz mwingine, nadhan cheusi mangala ananisoma vyema!
 
Back
Top Bottom