Natangaza nia ya uraisi wa JF

ladyfurahia

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2011
Posts
14,753
Reaction score
9,575
MWADILA MABESTITO WANGU WA UKWEEEEEEEEEE


Kauli mbiu yangu : "PAMBANA NA ADUI ILI KULETA BADILIKO"

Nimeamua kuingia kwenye kinyang'anyiro cha kutangaza NIA yangu ya dhati ya kutaka kuwa
RAIS wa JAMIIFORUM kwa muhura wa miaka 5 nimeona wengi wamejitokeza kusaka huo
URAIS nami bila ajizi nimeona niingie na kujinadi ili nami niweze kupata nafasi hii
kwani mwaka jana Mr. Dr. Arushaone aligombea ila hakuambulia kitu kwani
alijigamba sana akadhani kuwa angeweza kushindana na Liverpool1 kumbe alikuwa
anachochea utambi wa kibatari kwenye vumbi jingi akaona ni afadhali ajiweke kwenye udiwani
ambapo hata hapo alishindwa akauchukua PakaJimmy ktk jimbo la arusha.

Akaona haitoshi akaamia mjini magharibi nako hakupata kitu kiti kikachukuliwa na mshanajr
ambaye walimpenda kwa kuhonga sana na kupaa kwake kwa ndege watu walidatika bila kuona
kuwa wananyang'anywa tonge la ugali ndani ya kingo za midomo yao


Sasa mm nikaona bila ajizi niingie ulingoni kuusaka huo urais kwani nimechoka na ubunge ambao
nakaa roho juu kuupata kwani wagombea wake ni wengi mfano wa sisimizi wa kijani wataambao
wasione tundu la kuingia pangoni.

Wapinzani na wadau wote niunganisheni nguuvu ili mwaka huu 2015 niweze kuingia white house
mwenzenu nataka umashuhuri tu mkinichagua nitawapa maji kila kona ya jiji/vijiji/ vitongoji

B] Nitaondoa rushwa na ufisadi ndani ya milango ya unjanounjano na kwenye kingo za kuta white
c] Mkinichagua mtapata vyandarua bure na wala hamtapata maambukizi ya vimelea vya malaria
d] Mkinichagua nitawapa mbinu mbadala za kupambana na adui umaskini nanyi mtakuwa matajiri

NIPENI KURA ZENU MUONE MABADILIKO KATIKA MAISHA YENU

Kauli mbiu yangu : "PAMBANA NA ADUI ILI KULETA BADILIKO"
 
Mimi leo nilitangaza nia ila cha ajabu thread imefuta halafu cjui kwanini labda Invisible aje tu kuniambia kwanini ilikuwa hivyo.
 
Last edited by a moderator:
labda walikuona wewe kuwa sio maarufu hapa jf
wengiene sisi ni wakongwe na maarufu kila kona ya jukwaa ni famous
sasa unafikiri safari ya matumaini yetu ya kutangaza Nia hatubanikwi
Mimi leo nilitangaza nia ila cha ajabu thread imefuta halafu cjui kwanini labda Invisible aje tu kuniambia kwanini ilikuwa hivyo.
 
Raisi wa Jf m ntaomba uturudishie notifications tu kwa sisi watumiaji wa app. Kura yngu utapata tena hasa we mwanamke:what:
 
labda walikuona wewe kuwa sio maarufu hapa jf
wengiene sisi ni wakongwe na maarufu kila kona ya jukwaa ni famous
sasa unafikiri safari ya matumaini yetu ya kutangaza Nia hatubanikwi

kumbe mpango upo hvyo,kweli sasa hapo demokrasia ziimezikwa kwenye tanuri la mkaa.
Ila ntatangaza nia hadi kieleweke,hapa hakuna kulala.
 
HAHAHAHAHHAA mumy nafurahije asante sana nitakuletea fomu na ya daddy Watu8 mwambie apunguze ukorofi wake ndo maana nilimtorokaga anapigia simu nirudi nani arudi mpaka nipate urais ndo nitakuja hahahahahahaaaaaaaaaaa
Ha ha haaaaa my daughter ladyfurahia niletee fomu kabisa mie mdhamini number 1.
 
Last edited by a moderator:
usijali ngoja niukwae urais mbona patachimbika hakuna kufanya kazi watu watajikita kwenye mambo ya mtandaoni watashinda kutwa kucha ili mradi tunachat kwa kwenda mbele wewe mtu unamfanyisha mikazi asubuhi hadi majogooo uliona wapi weweee ngojeni niutwae urais hapo watu wote no shule no kazi no biashara tanzania tutachat mpaka kieleweke
Na mimi nakuunga mkono mgombea ila usisahau kutushushia gharama za bandle ili tuwe online
 
subiri october haiko mbali utapata hadi sms apps unataka nini tena zaidi ya kuchat kwa kwenda mblee
Raisi wa Jf m ntaomba uturudishie notifications tu kwa sisi watumiaji wa app. Kura yngu utapata tena hasa we mwanamke:what:
 
Lete fedha nikupigie kampeni....mkono mtupu haulambwi.
 
ukitafuta wadhamani mkoa wa Dar es salaam....just count on me....
Umepita ww..."Hatuwezi kuzuia mafuriko kwa mikono"
 
Ladies first tunataka raisi mwanamama and no one else.....kama vile nafasi ya uspika mwaka 2010....

_TeAm#lady_furahia_4_life
 



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…