ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,753
- 9,575
MWADILA MABESTITO WANGU WA UKWEEEEEEEEEE
Kauli mbiu yangu : "PAMBANA NA ADUI ILI KULETA BADILIKO"
Nimeamua kuingia kwenye kinyang'anyiro cha kutangaza NIA yangu ya dhati ya kutaka kuwa
RAIS wa JAMIIFORUM kwa muhura wa miaka 5 nimeona wengi wamejitokeza kusaka huo
URAIS nami bila ajizi nimeona niingie na kujinadi ili nami niweze kupata nafasi hii
kwani mwaka jana Mr. Dr. Arushaone aligombea ila hakuambulia kitu kwani
alijigamba sana akadhani kuwa angeweza kushindana na Liverpool1 kumbe alikuwa
anachochea utambi wa kibatari kwenye vumbi jingi akaona ni afadhali ajiweke kwenye udiwani
ambapo hata hapo alishindwa akauchukua PakaJimmy ktk jimbo la arusha.
Akaona haitoshi akaamia mjini magharibi nako hakupata kitu kiti kikachukuliwa na mshanajr
ambaye walimpenda kwa kuhonga sana na kupaa kwake kwa ndege watu walidatika bila kuona
kuwa wananyang'anywa tonge la ugali ndani ya kingo za midomo yao
Sasa mm nikaona bila ajizi niingie ulingoni kuusaka huo urais kwani nimechoka na ubunge ambao
nakaa roho juu kuupata kwani wagombea wake ni wengi mfano wa sisimizi wa kijani wataambao
wasione tundu la kuingia pangoni.
Wapinzani na wadau wote niunganisheni nguuvu ili mwaka huu 2015 niweze kuingia white house
mwenzenu nataka umashuhuri tu mkinichagua nitawapa maji kila kona ya jiji/vijiji/ vitongoji
B] Nitaondoa rushwa na ufisadi ndani ya milango ya unjanounjano na kwenye kingo za kuta white
c] Mkinichagua mtapata vyandarua bure na wala hamtapata maambukizi ya vimelea vya malaria
d] Mkinichagua nitawapa mbinu mbadala za kupambana na adui umaskini nanyi mtakuwa matajiri
NIPENI KURA ZENU MUONE MABADILIKO KATIKA MAISHA YENU