Natangaza nia...

Natangaza nia...

Gsana

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2010
Posts
4,383
Reaction score
1,337
Wapendwa wanaJF,naanza kwa kumshukuru mola kwa kuniweka hewani,yani hapa juu ya uso wa dunia. Katika kuuanza mwaka 2011 naleta lengo langu, nimependa kuwashirikisha Great Thinkers ktk kunsaidia kunsogezea ubavu wangu wa pili. Natangaza kuanza mchakato wa kumtafuta wa kuishi nae. Kwa ufupi nakaribia miaka 26,taalum mhasibu,afya njema,mtanashati,charming,wise in decision. WanaJF,si lazma nitafute wa kuishi nae hapa Jf,ila nautangazia ulimwengu kuwa nataka kupata mtu wa kuwa mama wa watoto wangu,kama una dada au ndugu si vibaya ukamtonya aingie kwenye kinyanganyiro. Kumbuka sensa ya 2002 ilitoa ratio 1:03 yani mwanaume atapaswa aoe zaidi ya mke mmoja,ili wanawake wote waolewe. Kwa iyo ni vema nafasi hii muitumie vizuri akina dada. Kwa ufupi, Vigezo: 1. Awe ni Mtanzania 2. Mwenye imani ya kuwa Mola yupo(mkristo_mkatoliki au muislam) 3.awe amepima magonjwa ambukizi. 4. Awe na umri kati ya 14-22(marriage ordinance nchini Tanzania inamruhusu binti kuolewa kuanzia miaka 14 ila atimize masharti.)pia atakuwa subject to probation period 5. Awe na elimu kuanzia f4 ila isizidi digrii ya kwanza. 6. Awe charming and conversant. 7. Awe anatokea Mbeya,Mwanza,na kagera peke yake. 8. Amna love experience inayohitajika. Hapa akiwapo bikira ndo atapata kipaumbele,pia awe tayari kufuata procedure ya legal marriage yani uchumba-ndoa. 9. Awe na figure la kumfanya baba asicheze mbali. Hapa ikumbukwe kuwa sitahitaji nyumba ndogo wala kutoka nje hata siku moja maishani,ivyo awe na figure ya ukweli yenye viwango vya kuridhisha. 10. All qualification carry equal weight. Note: kama wa vigezo hatopatikana ntatafuta mpaka niwe 30yrs ndo nibadili vigezo. Asanteni kwa kunielewa. MHASIBU.
 
Mkuu nina mdogo wangu ana figure ya nguvu. U just pm me i will show u the way. But what do u min with the legal marriege procedure.
 
:Cry::Cry::Cry::Cry: nina kigezo kimoja tu( naamini mungu yupo) nifikirie basi
 
Unataka mwenzako awe na umbo zuri we lako vipi?Sura je?Mfuko unalipa?
 
:Cry::Cry::Cry::Cry: nina kigezo kimoja tu( naamini mungu yupo) nifikirie basi

kama una kigezo kimoja kile cha no.10 tunaweza kaa mezani kujadiliana. Karibu.
 
Unataka mwenzako awe na umbo zuri we lako vipi?Sura je?Mfuko unalipa?

umbo langu la kawaida,kilo 64 nadhani unapata picha ya umbo,ila mi si mnene,yani mwanaume wa kawaida. Sura: naamini mi handsome,ila si bishow,sura ya kiume na handsome boy wa kiasi.
 
Unataka mwenzako awe na umbo zuri we lako vipi?Sura je?Mfuko unalipa?

umbo langu la kawaida,kilo 64 nadhani unapata picha ya umbo,ila mi si mnene,yani mwanaume wa kawaida. Sura: naamini mi handsome,ila si bishow,sura ya kiume na handsome boy wa kiasi. Mfuko: mambo bado si makubwa ila sijawahi kumwona mhasibu analia njaa. Sie ndo watengeneza fedha bwana,niko tayari vitabu vya kampuni visibalance ili mama watoto anone!
 
uchumba kama unaomba kazi? afadhali nilishaolewa zamani.
 
Mkuu nina mdogo wangu ana figure ya nguvu. U just pm me i will show u the way. But what do u min with the legal marriege procedure.

mkuu nipe data mana naona unafaa kuwa mtoto wa mzaa chema! Ukimwelekeza hutokaa ujutie uamuzi wako. Marriage procedure namaanisha sitaki kumwona leo tunamaliza kila kitu na haitachukua siku moja au mbili ni miezi au hata mwaka. Mi bado kijana ,elimu safi,sitopenda kukurupuka. Ndo nkasema kuna probation period.
 
Nawe tufahamishe basi, watokea mkoa gani kwani umehainisha hapa unaitaji mchumba kutoka mikoa mitatu tu (Mbeya, Mwanza na kagera) kati ya mikoa ishirini na saba plus mkoa mmoja wa majeshi ya Tanzania, pia nawe ni dini gani kwani hapa unataka mke kutoka dini mbili tu yaani aidha hawe mkristo wa dhehebu la kikatoliki au Muislam. Nje ya hapo haitajiki mpaka baada ya miaka minne utakapo badirisha vigezo.

Unaitaji mke aliyesoma minimum kidato cha nne na asizidi zaidi ya digirii ya kwanza. Je wewe kiwango chako cha elimu ni kipi?

Je huna creminal record yoyote ile? I mean kama wizi au udokozi hata wa mboga jikoni kwani nayo ni tabia mbaya kwa mtoto wa kiume au unasemaje?

Unahitaji mke mwenye umbo malidhawa, je wewe wajihi wako kiumbo upo vipi? Bwanyenye, tipwa tipwa, lakini mwenye afya au kimbau mbau mwiko wa pilau?

Unasema hawe amepima magonjwa ambukizi i.e Malaria. Je wewe binafsi unasema afya nzuri lakini umepima HIV na ukaonekana HIV hasi yaani negative!? Je Maleria!?

Unaposema kuwa hawe na "love experience inayohitajika" una maanisha nini? Hivi msichana kigoli mwenye umri kuanzia miaka 14, aliye bikra anaweza kweli kuwa na hiyo love experience? Je wewe vipi Bikra au wadada washakuchakachua? Maana bikra si kwa watoto wa kike tu, hata kwa wavulana kama wewe mnapaswa kuwa bikra pia au unasemaje?

Ni hayo tu kwa sasa.
 
uchumba kama unaomba kazi? afadhali nilishaolewa zamani.

Lady sio kiivo,ni formality za kawaida,ni lugha tu ndo inaonesha ivo ila mi nlijaribu kueleza ili mtu apate picha nzuri. Au unashaurije?
 
Wapendwa wanaJF,naanza kwa kumshukuru mola kwa kuniweka hewani,yani hapa juu ya uso wa dunia. Katika kuuanza mwaka 2011 naleta lengo langu, nimependa kuwashirikisha Great Thinkers ktk kunsaidia kunsogezea ubavu wangu wa pili. Natangaza kuanza mchakato wa kumtafuta wa kuishi nae. Kwa ufupi nakaribia miaka 26,taalum mhasibu,afya njema,mtanashati,charming,wise in decision. WanaJF,si lazma nitafute wa kuishi nae hapa Jf,ila nautangazia ulimwengu kuwa nataka kupata mtu wa kuwa mama wa watoto wangu,kama una dada au ndugu si vibaya ukamtonya aingie kwenye kinyanganyiro. Kumbuka sensa ya 2008 ilitoa ratio 1:8 yani ili kila mwanamke aolewe, wanaume wote waliokuwa hai 2008 akiwemo waliozaliwa mwaka huo jumlisha na mapadre ilibidi mwanaume mmoja aoe wanawake wanane ili wote waolewe. Kwa iyo ni vema nafasi hii muitumie vizuri akina dada. Kwa ufupi, Vigezo: 1. Awe ni Mtanzania 2. Mwenye imani ya kuwa Mola yupo(mkristo_mkatoliki au muislam) 3.awe amepima magonjwa ambukizi. 4. Awe na umri kati ya 14-22(marriage ordinance nchini Tanzania inamruhusu binti kuolewa kuanzia miaka 14 ila atimize masharti.)pia atakuwa subject to probation period 5. Awe na elimu kuanzia f4 ila isizidi digrii ya kwanza. 6. Awe charming and conversant. 7. Awe anatokea Mbeya,Mwanza,na kagera peke yake. 8. Amna love experience inayohitajika. Hapa akiwapo bikira ndo atapata kipaumbele,pia awe tayari kufuata procedure ya legal marriage yani uchumba-ndoa. 9. Awe na figure la kumfanya baba asicheze mbali. Hapa ikumbukwe kuwa sitahitaji nyumba ndogo wala kutoka nje hata siku moja maishani,ivyo awe na figure ya ukweli yenye viwango vya kuridhisha. 10. All qualification carry equal weight. Note: kama wa vigezo hatopatikana ntatafuta mpaka niwe 30yrs ndo nibadili vigezo. Asanteni kwa kunielewa. MHASIBU.
Mie naomba nikusahihishe kwenye Takwimu. Si kweli ratio ya wanaume kwa wanawake kwa Tanzania ni hiyo uliyoitaja. Kwa mujibu wa letest census (2002), Mgawanyo ni Females are 17658911 while males are. 16910121. Kwahiyo ni 1:1.04
 
Nawe tufahamishe basi, watokea mkoa gani kwani umehainisha hapa unaitaji mchumba kutoka mikoa mitatu tu (Mbeya, Mwanza na kagera) kati ya mikoa ishirini na saba plus mkoa mmoja wa majeshi ya Tanzania, pia nawe ni dini gani kwani hapa unataka mke kutoka dini mbili tu yaani aidha hawe mkristo wa dhehebu la kikatoliki au Muislam. Nje ya hapo haitajiki mpaka baada ya miaka minne utakapo badirisha vigezo.

Unaitaji mke aliyesoma minimum kidato cha nne na asizidi zaidi ya digirii ya kwanza. Je wewe kiwango chako cha elimu ni kipi?

Je huna creminal record yoyote ile? I mean kama wizi au udokozi hata wa mboga jikoni kwani nayo ni tabia mbaya kwa mtoto wa kiume au unasemaje?

Unahitaji mke mwenye umbo malidhawa, je wewe wajihi wako kiumbo upo vipi? Bwanyenye, tipwa tipwa, lakini mwenye afya au kimbau mbau mwiko wa pilau?

Unasema hawe amepima magonjwa ambukizi i.e Malaria. Je wewe binafsi unasema afya nzuri lakini umepima HIV na ukaonekana HIV hasi yaani negative!? Je Maleria!?

Unaposema kuwa hawe na "love experience inayohitajika" una maanisha nini? Hivi msichana kigoli mwenye umri kuanzia miaka 14, aliye bikra anaweza kweli kuwa na hiyo love experience? Je wewe vipi Bikra au wadada washakuchakachua? Maana bikra si kwa watoto wa kike tu, hata kwa wavulana kama wewe mnapaswa kuwa bikra pia au unasemaje?

Ni hayo tu kwa sasa.

X-Paster yani umenichekesha mpaka basi. Cjui kweli x.pastor,mana umenipa hoja nyingi za ukweli ndani ya setensi chache. Cjui kama naweza kukujibu kwa ukamilifu. Ntajaribu: nimesema afya yangu ni njema,umbo la kawaida si mnene wala si mwiko kama ulivosema,nna imani nko handsome. Ujasoma vizuri_nimesema SIHITAJI love experience,elimu digrii,MHASIBU,sina jinai yoyote hata kusingiziwa jinai bado!,mkuu ivi mkoa wa Majeshi ni upi huo?! Mi mkristo,nimeanza mikoa hii kwani najua ina hazina ya kutosha,nkikosa huko,basi kabla ya uchaguzi wa Rais mpya wa jamhuri ya Tz ntabidili vigezo. Hapo itaingizwa arusha,pwani na dodoma,mikoa mi3 mi3 mpaka lengo litimie. Note: sina mpango wa kuingiza Zbar katka mchakato,wakijitenga sitaki kuja kwenda kwa wakwe na Visa mfukoni.
 
Lady sio kiivo,ni formality za kawaida,ni lugha tu ndo inaonesha ivo ila mi nlijaribu kueleza ili mtu apate picha nzuri. Au unashaurije?
niliwahi kushauriwa mtu mpaka kufikiria kuwa mke/mume ni lazima wamefahamia kwa muda.
mara nyingi mke/mume anapati
1) around mahali unapoishi/ulipokuwa unaishi be4
2) shuleni/chuoni
3) kwenye nyumba za ibada
4) ofisini ie mfanyakazi mwenzio
5) kupitia frends ingawa sio kwa % kubwa sana

huku kwenye .com:nono::nono:😛layball:😛layball:
 
Mie naomba nikusahihishe kwenye Takwimu. Si kweli ratio ya wanaume kwa wanawake kwa Tanzania ni hiyo uliyoitaja. Kwa mujibu wa letest census (2002), Mgawanyo ni Females are 17658911 while males are. 16910121. Kwahiyo ni 1:1.04

basi chanzo chako kina uhakika kama changu kimechakachuliwa nahaidi kurudi library/research kufanya upya,ila bado sio 1:1 it means demand and supply haijalingana,ikumbukwe kuwa kuna wengne hawaoi kwa taratibu za imani,afya na kadhalika so,ratio imbalance inaweza kubaki ile nliyotaja au vp mkuu!?
 
Kuna wanawake pia hawaolewi kwa taratibu za kiimani na afya km wanaume kwahiyo mwisho wa siku ratio inabaki ileile. Usihangaike kwenda kufanya reserch, bonyeza key board, search utaona. Tena huenda ikapungua maana wanawake wana life span kubwa
 
niliwahi kushauriwa mtu mpaka kufikiria kuwa mke/mume ni lazima wamefahamia kwa muda.
mara nyingi mke/mume anapati
1) around mahali unapoishi/ulipokuwa unaishi be4
2) shuleni/chuoni
3) kwenye nyumba za ibada
4) ofisini ie mfanyakazi mwenzio
5) kupitia frends ingawa sio kwa % kubwa sana

huku kwenye .com:nono::nono:😛layball:😛layball:

sawa ila there is no law without exception! Ningetaka huko hata nsingekuja hapa. Pia kufahamiana kwa muda ndo maana nkasema kuna probation,cjui kama umepitia na kunielewa vizuri. Kweli kupitia friend ni kama wewe friend au mpaka tuwe tumeonana?ukinshauri tuonane aitakuwa tabu. Katka sehemu ulizotaja ni sawa ila najitahidi kupractise morality!ya nini nsingizie kwenda kanisani wakati naenda kuangaza macho?sitaki kumwongopea mola,pia msimamo wangu ni kwamba naifuata dhamira yangu. Siwezi kuacha kufanya kazi nkaanza kuwaita wafanyakazi wenzangu. Hata ivo maadili ya Kihasibu hayaruhusu. Ila ni ushauri mzuri,nashukuru. Kama Mungu atamleta kupitia huko,pia ntashukuru ila sitaki kutumia njia iyo kama pekee pia ktk maandiko matakatifu naona wote walikuwa wanafunuliwa kutoka mbali mf.queen of Sheba, samson and delila, king solomon, mt.joseph and Maria...kuhusu dot.com kwa sasa ndo kila kitu. Ebu fikiria maisha yako bila electronic access kama cm,Lady ingekuaje? Hata hapa napata ushauri wako maridhawa kwa kupitia dot.com,ni muhimu kuliko maelezo dada angu!au unasemaje?!
 
Kuna wanawake pia hawaolewi kwa taratibu za kiimani na afya km wanaume kwahiyo mwisho wa siku ratio inabaki ileile. Usihangaike kwenda kufanya reserch, bonyeza key board, search utaona. Tena huenda ikapungua maana wanawake wana life span kubwa

ok. Ila mkuu update data zako basi,maana sensa uliyotaja ni karibia miaka10 nyuma,kwa nini? Ujue hata mwaka 2010 serikali imeupdate database na sensa ya 2008 si reliable tena! Angalia hata official national website utakuta data mpya. Unaeleza kuwa mwaka 2002 tz tupo karibia 32mil,sasa ivi ni 41.6mil. Jaribu kuangalia pia takwimu za hospital utaona watoto wa kike wengi zaidi ya wakiume,hata kwenye familia ndo ivo ivo. Mkuu tutumie data updated tutapata ukweli zaidi.
 
mmmhhhh

:A S confused::A S confused::A S confused: hivyo vigezo karibu vyote vimenishinda..
 
Back
Top Bottom