Natangaza NIA

ladyfurahia

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2011
Posts
14,753
Reaction score
9,575
Habarini marafiki


12/07/2014

Kwa mara nyingine najitokeza tena kuwania kiti cha Urais wa Tz mwakani
hivyo nimeanza vikampeni vya chini chini iili nikiibuka niwe kiuhalisia

Mnamo 2010 nilitangaza nia ya kuwa Mbunge katika jimbo langu,
nikapigwa mweleka na huyu bhana mdogo wa cdem hivyo nikaambulia
patupu. Nimejitokeza kwa mara nyingine kuchukua nafasi ya urais
ili nilete kitu tofauti ambacho tz jf hakipo na wala hakijawahi fanyika
ile NIA yangu bado ipo na wala hakuna mtu atakayeninyamazisha kwa
hili kwani naona vitu vibaya vinafanyika, unyanyasaji upo kama kawa-
sasa wanyonge wanawake wakimbilie wapi wakati KOMANDOO
wao yuko na nipo tayari kwa lolote dhidi ya mfumo DUME unaowakandamiza

Kuanzia October 2014 mwaka huu naanza kutembea na kutangaza nia hii ambayo
imo ndani yangu kwani tumechoka kunyanyasika na hawa makabaila dume
tunataka beijing ifanye kazi yake hapa tz jf.

"NIA NINAYO; UWEZO NINAO; NA NGUVU NINAZO.
LAZIMA TUTASHINDA WANAWAKE 2015 INABIDI WANAWAKE WENZANGU
MNISUPPORT KWA HILI. KWANI UMOJA NI NGUVU NA UTENGANO NI UDHAIFU"


Hivyo nimeamua kutangaza nia mapema kama alivyofanya mtoto wa m-k-mba
nami niko mbioni kupeleka nia yangu kwa uongozi wa juu nitambulike

Nasisitiza: kuwa NIA, UWEZO NA NGUVU ninazo tutavuka 2015

cc: Mtambuzi, Mamndenyi, Passion Lady (jembe langu nisupport), charminglady, Kipaji Halisi, mwallu, Nivea, Chocs, Erickb52, LiverpoolFC, PakaJimmy, MTAFITI Ntuzu, muuza ubuyu, Lady doctor, (Watu8 (nipe ushauri daddy), measkron (Naitaji supporty yako mumy), Excel, Young Master, Heaven on Earth, heaven on desert, Zion Daughter, Mwita Maranya, Jiwe Linaloishi, nitonye, Washawasha, elly79, Blue G (binamu), kabanga na wote marafiki zangu niliowasahau kuwataja karibun kwa maoni na ushauri wangu niende kuchukua fomu kwa kinyang'anyiro hicho cha kuwania uraisi?

Nawasilisha

Ladyf
 
Last edited by a moderator:
Nitafute pembeni nataka niwe kampeni meneja wako. Mchele andaa wa kutosha mambo ya nitalipa nikiingia magogoni sahau.

Hii ndo typical style ya viongozi wetu wali mwingi kuombea kura badala ya sera ha ha haaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…