Atakupatia tu best
Mpigie kampeni
Nimekusikia Swty!
That's y I luv u
You have all my support my dear daughter ladyfurahia
Mimi nitapiga kampeni against u
tuko pamoja
I luv u too Swty!
Usiniambie unataka kuwa kampeni meneja wa ladyfurahia....sitakuruhusu
acha wivu wewe kwakuwa nimekuchukulia :third: mkononi nini?
hiii sio idara ya kupeana maluv nendeni kule mmu sio kwenye kampeni zenu mnaingiza sera zenu hapa
:cool2:
kwa taarifa yako ameshajaza fomu za kuwania umeneja kwangu
nasubiria tu sahihi toka kwa mwenyekiti wa chama
umeula wa chuya bestitooooooo