Natangaza NIA

Natangaza NIA

Chocs i miss u my wii how is Erickb52 ????????????

Yaaani......mpaka nimeishiwa la kusema
Kwanini unapotea namna hiyo,sio vizur mamy wangu

Me miss u mooore wifi 'angu kipenz yan ni zaidi ya mara 1000000000000000

Bro wako yupo hajambo kabisa
Sante kutukumbuka
 
Last edited by a moderator:
hiii sio idara ya kupeana maluv nendeni kule mmu sio kwenye kampeni zenu mnaingiza sera zenu hapa
:cool2:

Hii sasa kazi....tukuwa mmu tunaambiwa nendeni chitchat tukiwa chitchat tunaambiwa nendeni mmu. Ehee na wewe huu uzi wako kwa nini usipeleke siasani?
 
kwa taarifa yako ameshajaza fomu za kuwania umeneja kwangu
nasubiria tu sahihi toka kwa mwenyekiti wa chama

umeula wa chuya bestitooooooo

Ndo keshakatazwa sasa.....haendelei mbele tena
 
Back
Top Bottom