mmeshaanza kuchagua mechi!! ndio kupumlia mirija hukoNa Azam atamfunga Yanga mapinduzu tu na si Ligi kuu
Mtani mbona dua imejaa masimango itafika kweli kwa huyo bint ? lamba lamba wamewapa cha kusema madhali bado tupo wacha tusubiri waqt siku zote ni msema kweli .Achana na kina Sibonike Nyenyere Frank Wanjiru na kaka yao Makoye Matale.. Hofu yangu kuu ni kwa binti galatia.. maana huyu binti fyuzi zishaungua kichwani kitambo.. Kwa ile 4G waliyopata jana.. Sijui ana hali gani kwa sasa? Eeh Mola mlinde huyu binti popote alipo maana bado tunamhitaji.
Lengo ni kumhadaa mtu ili tukikutana aje na confidence za uongo.Achana na kina Sibonike Nyenyere Frank Wanjiru na kaka yao Makoye Matale.. Hofu yangu kuu ni kwa binti galatia.. maana huyu binti fyuzi zishaungua kichwani kitambo.. Kwa ile 4G waliyopata jana.. Sijui ana hali gani kwa sasa? Eeh Mola mlinde huyu binti popote alipo maana bado tunamhitaji.
Maana yake Yanga alimhonga matopeni mara mbili msimu uliopita?Yanga mpaka wahonge ndipo azamu wana hela watawapa nn?
From 6-0, 2-0 mpaka 0-4.. nadhani unaona mnapoelekea?Lengo ni kumhadaa mtu ili tukikutana aje confidence za uongo.
Haya mabonanza yana mambo yake. Yaani Marehemu lambalamba kafufukia kwetu!
Kwani mashindano yameisha?Niliwaambia pumzi ya yanga imekata baada ya ushiindi wa 2.Nikasema acheni kelele maana kila timu ni mbovu,sasa hii si aibu ya mwaka hii.
Hahahaa.. Mkuu Jana nilikua eneo korofi.. nimerejea asubuhi hii.Ningeshangaa nisipate mention ya Sembo. Kipindi hiki hawezi kuwa eneo korofi kwenye mtandao. Wala simu haiwezi kuisha charge.
Hilo la kukutana ndiyo nalitakaFrom 6-0, 2-0 mpaka 0-4.. nadhani unaona mnapoelekea?
Naona tarehe 13 mbali.. natamani tukutane hata nusu fainali, ili tumalize shughuli yenu mapema.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Wana comment kwa adabu. Adabu zimewarudia Zenji sio pazuri. 4G inawauuma.
Leo si kwamba tunakamilisha ratiba tu.. Bali pia tunaenda kulinda heshima yetu iliyotukuka.Hilo la kukutana ndiyo nalitaka
Leo hatujui humu nani mikia na nani ni lambalamba.
Hata nyie leo mnakamilisha ratiba tu.
Yanga Yetu.Unahama waenda wap?