Natangaza rasmi kuihama Yanga

Natangaza rasmi kuihama Yanga

Achana na kina Sibonike Nyenyere Frank Wanjiru na kaka yao Makoye Matale.. Hofu yangu kuu ni kwa binti galatia.. maana huyu binti fyuzi zishaungua kichwani kitambo.. Kwa ile 4G waliyopata jana.. Sijui ana hali gani kwa sasa? Eeh Mola mlinde huyu binti popote alipo maana bado tunamhitaji.
Mtani mbona dua imejaa masimango itafika kweli kwa huyo bint ? lamba lamba wamewapa cha kusema madhali bado tupo wacha tusubiri waqt siku zote ni msema kweli .
 
Achana na kina Sibonike Nyenyere Frank Wanjiru na kaka yao Makoye Matale.. Hofu yangu kuu ni kwa binti galatia.. maana huyu binti fyuzi zishaungua kichwani kitambo.. Kwa ile 4G waliyopata jana.. Sijui ana hali gani kwa sasa? Eeh Mola mlinde huyu binti popote alipo maana bado tunamhitaji.
Lengo ni kumhadaa mtu ili tukikutana aje na confidence za uongo.
Haya mabonanza yana mambo yake. Yaani Marehemu lambalamba kafufukia kwetu!
 
Ningeshangaa nisipate mention ya Sembo. Kipindi hiki hawezi kuwa eneo korofi kwenye mtandao. Wala simu haiwezi kuisha charge.
 
Lengo ni kumhadaa mtu ili tukikutana aje confidence za uongo.
Haya mabonanza yana mambo yake. Yaani Marehemu lambalamba kafufukia kwetu!
From 6-0, 2-0 mpaka 0-4.. nadhani unaona mnapoelekea?
Naona tarehe 13 mbali.. natamani tukutane hata nusu fainali, ili tumalize shughuli yenu mapema.
 
Wametoka kuharisha. Jana waliifunga nepi. Wamebaki kukumbusha historia.
 
Niliwaambia pumzi ya yanga imekata baada ya ushiindi wa 2.Nikasema acheni kelele maana kila timu ni mbovu,sasa hii si aibu ya mwaka hii.
Kwani mashindano yameisha?
Yanga alisha ku qualify tayari. Mechi ya kukamilisha ratiba. Do not read too much in such a game!
 
Ningeshangaa nisipate mention ya Sembo. Kipindi hiki hawezi kuwa eneo korofi kwenye mtandao. Wala simu haiwezi kuisha charge.
Hahahaa.. Mkuu Jana nilikua eneo korofi.. nimerejea asubuhi hii.
 
From 6-0, 2-0 mpaka 0-4.. nadhani unaona mnapoelekea?
Naona tarehe 13 mbali.. natamani tukutane hata nusu fainali, ili tumalize shughuli yenu mapema.
Hilo la kukutana ndiyo nalitaka
Leo hatujui humu nani mikia na nani ni lambalamba.
Hata nyie leo mnakamilisha ratiba tu.
 
Wana comment kwa adabu. Adabu zimewarudia Zenji sio pazuri. 4G inawauuma.
 
Hilo la kukutana ndiyo nalitaka
Leo hatujui humu nani mikia na nani ni lambalamba.
Hata nyie leo mnakamilisha ratiba tu.
Leo si kwamba tunakamilisha ratiba tu.. Bali pia tunaenda kulinda heshima yetu iliyotukuka.
 
Yanga ana kazi ya kupambana na matopeni na lambalamba kwa wakati mmoja.

Kazi tumeishaizoea sasa.

Bora tukutane na mikia sasa.
 
Mpaka huruma unyenyekevu umezidi. Popobawa tena mtu yupo macho. Nasikia vyumbani ngumi zilitembea. 4 G mchezo weye.
 
Natafta kadi yangu ya Yanga niirudishe,mi siwezi fanywa bwabwa la skukuu,hata wangecheza na timu daraja la mne wasingefungwa zile goli,Na naskia mchawi wa Yanga jana alichelewa boti,ndo ikatokea dhahma
 
Back
Top Bottom