Natangaza rasmi kuihama Yanga

Natafta kadi yangu ya Yanga niirudishe,mi siwezi fanywa bwabwa la skukuu,hata wangecheza na timu daraja la mne wasingefungwa zile goli,Na naskia mchawi wa Yanga jana alichelewa boti,ndo ikatokea dhahma
Hamia Yanga Yetu wameanza kutoa kadi.
 
Sio kwa kipigo hiki 4-0 jamani kwel au ndio mwaka mpya,....Sijui nitaweka wapi uso wangu..... Nahama TIMU jaman sio kwa aibu hii Yanga .....Azam mmetumwa na Simba Mahasimu
Yanga wa kweli hawezi kuhama hata siku moja.
Tanzania hii, uhame Yanga uende wapi? Unaweza kuwaacha mabingwa wa kihistoria wa Tanganyika/Tanzania?
Wa karibu anahitaji Yanga isichukue ubingwa mara 8 ili aifikie. Ndoto za alinacha
 
wewe bure kabisa
 
Sio kwa kipigo hiki 4-0 jamani kwel au ndio mwaka mpya,....Sijui nitaweka wapi uso wangu..... Nahama TIMU jaman sio kwa aibu hii Yanga .....Azam mmetumwa na Simba Mahasimu

sijui wa brazil zile 7 na arsenal zile 8 walihamia wapi? nawaza tu kimya kimya
 
Yanga wa kweli hawezi kuhama hata siku moja.
Tanzania hii, uhame Yanga uende wapi? Unaweza kuwaacha mabingwa wa kihistoria wa Tanganyika/Tanzania?
Wa karibu anahitaji Yanga isichukue ubingwa mara 8 ili aifikie. Ndoto za alinacha

Nashukuru Kuwa Umejaribu Kuongea Ukweli Kuwa Ubabe Wako Ni Ndani Ya TANGANYIKA tu! lakini Ukitoka Nje Ya Tanganyika umekuwa Chakula Cha Watu...
Manake Hapa pa Jirani Yako tu Zanzibar Umekuwa Ukinyolewa Tokea Enzi hizo Mpaka leo... Lakini Subiri ukianyage Tanganyika Uone unavyojifanya hodari...

Nilikuwa Nawachora tu Kipindi kile Zilipozuka Tetesi Kuwa Uwanja Wa Zanzibar Ndiyo uwe Uwanja Wenu Wa Nyumbani Kwenye VPL.... Nadhani Sasahivi Mungelikuwa Relegator Munagombaniana Nafasi na Toto na JKT Ruvu... Manake Nje Ya Tanganyika Usingelimfunga Mtu...
 
Yanga alimpiga mtu goli sita. "Wataalam" wakasema haijalishi ni point tatu zilezile.
Sasa goli nne inaelekea zimezalisha point sita Azam.
Mchezo wenyewe hauna kitu zaidi ya kulinda heshima tu. Qualification already assured.
 
Cha
Chakula cha watu kama nani? The big Libolo?
 
Akili zimewarudia. Migongo wazi wanatafuta suluhu .4G sio mchezo weye. Wamezimia 10 jana huko Zenji machela za kuwabeba hazikutosha ikabidi wamwagiane maji. Kila anayezinduka akiambiwa 4 anazimia tena.
.
 
Fisi akijeruhiwa anakula utumbo wake. Migongo wazi wameanza kurudiana wenyewe kwa wenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…