Hamia Yanga Yetu wameanza kutoa kadi.Natafta kadi yangu ya Yanga niirudishe,mi siwezi fanywa bwabwa la skukuu,hata wangecheza na timu daraja la mne wasingefungwa zile goli,Na naskia mchawi wa Yanga jana alichelewa boti,ndo ikatokea dhahma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamia Yanga Yetu wameanza kutoa kadi.Natafta kadi yangu ya Yanga niirudishe,mi siwezi fanywa bwabwa la skukuu,hata wangecheza na timu daraja la mne wasingefungwa zile goli,Na naskia mchawi wa Yanga jana alichelewa boti,ndo ikatokea dhahma
Yanga wa kweli hawezi kuhama hata siku moja.Sio kwa kipigo hiki 4-0 jamani kwel au ndio mwaka mpya,....Sijui nitaweka wapi uso wangu..... Nahama TIMU jaman sio kwa aibu hii Yanga .....Azam mmetumwa na Simba Mahasimu
wewe bure kabisaStatistics za Yanga
First Half
Shot off Target 1
Shot on Target 0
Unaamini kweli kwa forward yenye magoli 8 ndani ya mechi mbili wanaweza kuwa na takwimu hizo ndani ya 45 minutes?
Second Half
Shot off Target 3
Shot on target 3
Hii clearly ni match fixing na nia ya Waandaji walitaka fainali aingie aingie Yanga na Azam
Mkuu usishangae malaria imepanda kichwani. Unafikiri 4 G mchezo.wewe bure kabisa
hata mimi naona.Mkuu usishangae malaria imepanda kichwani. Unafikiri 4 G mchezo.
Ndio maana unaona anaweweseka.
Sio kwa kipigo hiki 4-0 jamani kwel au ndio mwaka mpya,....Sijui nitaweka wapi uso wangu..... Nahama TIMU jaman sio kwa aibu hii Yanga .....Azam mmetumwa na Simba Mahasimu
Yanga wa kweli hawezi kuhama hata siku moja.
Tanzania hii, uhame Yanga uende wapi? Unaweza kuwaacha mabingwa wa kihistoria wa Tanganyika/Tanzania?
Wa karibu anahitaji Yanga isichukue ubingwa mara 8 ili aifikie. Ndoto za alinacha
Huwa ni mwenda wazimu siku zoteYanga amepata kipigo cha mwenda wazimu
Si niliwaambia mkabisha. Ustaarabu na fahamu zitawarudia. Chezea 4 G weye.mpira una matokeo matatu..kufunga. sare na kufungwa..wewe nenda siyo mtu wa mpira
Chakula cha watu kama nani? The big Libolo?Nashukuru Kuwa Umejaribu Kuongea Ukweli Kuwa Ubabe Wako Ni Ndani Ya TANGANYIKA tu! lakini Ukitoka Nje Ya Tanganyika umekuwa Chakula Cha Watu...
Manake Hapa pa Jirani Yako tu Zanzibar Umekuwa Ukinyolewa Tokea Enzi hizo Mpaka leo... Lakini Subiri ukianyage Tanganyika Uone unavyojifanya hodari...
Nilikuwa Nawachora tu Kipindi kile Zilipozuka Tetesi Kuwa Uwanja Wa Zanzibar Ndiyo uwe Uwanja Wenu Wa Nyumbani Kwenye VPL.... Nadhani Sasahivi Mungelikuwa Relegator Munagombaniana Nafasi na Toto na JKT Ruvu... Manake Nje Ya Tanganyika Usingelimfunga Mtu...
Huyo ni mikia hana lolote. Yanga ahame kwa sababu ipi?mpira una matokeo matatu..kufunga. sare na kufungwa..wewe nenda siyo mtu wa mpira
Hapana mkuu amehama Yanga 4G amehamia Yanga Yetu (mkodisho).ni kama umetangaza ww ni shabik wa simba
haaaa haaaa sema kipigo cha jana weekend hii NanYwea ndani tuHapana mkuu amehama Yanga 4G amehamia Yanga Yetu (mkodisho).