zubedayo_mchuzi
JF-Expert Member
- Sep 2, 2011
- 4,873
- 1,217
Kwahiyo unatueleza ili iweje?
Grow up.
Kwahiyo unatueleza ili iweje?
Grow up.
kumbe wewe ni me?
Kula usikubali kuwa nyuki wa mashineni.
Joka la kibisa haikubaliki.anakubeep wewe mpigie meeen!asante, ni aibu kubwa kwa kijana aliyemaliza la saba kuwa nyoka wa maonesho.
Haya,hongera sana baba nanilii mtarajiwa,ila dini yangu inaniambia Ikimbie zinaa,na ndoa na iheshimiwe na watu wote,ukipenda badili uamuzi wako!majaribu yapo lakini yana njia za kutokea yote je umefanya njia gani?