Natangaza rasmi kuzaa na mke wa jirani yangu...vituko vimezidi.

Natangaza rasmi kuzaa na mke wa jirani yangu...vituko vimezidi.

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2011
Posts
4,873
Reaction score
1,217
nimeshindwa kuvumilia Vituko na MAJINA NAYOPEWA
kama NYOKA WA KIBISA,Sasa NAFANYA KWELI.....
NIKITOTOA NAE TU NAWEKA PICHA.

huyo wife wa jamaa si mchezo leo mudda si mmrefu amekja kuazima Charger YA pini ndogo yupo na KANGA MOJA.nabeba lawama
 
Haya,hongera sana baba nanilii mtarajiwa,ila dini yangu inaniambia Ikimbie zinaa,na ndoa na iheshimiwe na watu wote,ukipenda badili uamuzi wako!majaribu yapo lakini yana njia za kutokea yote je umefanya njia gani?
 
A%20S%20465.gif
kumbe wewe ni me?
A%20S%20465.gif
 
Zubeda-mchizi hebu tuimbe kwa pa1 wimbo huu wa marehemu dk Remmy(MKE WA MWENZIO); 'Natoa onyo kwako ww kama ndugu,tabia hiyo sio nzuri duniani, usiwe na haraka ya maisha ww kaka,waliotangulia wako wapi hivi sasaaa...MKE WA MWENZIO USIMWAZIME CHAJA..MUKE WA MWENZIO USIMNUNULIE VOCHA..,MKE WA MWENZIO USIJIPITISHE PITISHE.... Nakukaribisha nawe uendelee kuimba...
 
Zaa nae tu.Ila na wewe siku moja ukubali mwenye mali atakuja kuzaa na wewe pia.We lingia hicho kichaja chako cha pini ndogo tu,Shauri yako.
 
Haya,hongera sana baba nanilii mtarajiwa,ila dini yangu inaniambia Ikimbie zinaa,na ndoa na iheshimiwe na watu wote,ukipenda badili uamuzi wako!majaribu yapo lakini yana njia za kutokea yote je umefanya njia gani?

Huyu ni mzinzi tu na anatafuta sababu ya kuendeleza uzinzi na mke wa mtu. hebu acha utoto wewe mke wa mtu utatolewa roho wasichana wako wengi tafuta wako uoe acha kutolea macho wake wa wenzio.
 
yani unataka kuzaa na mke wa kaka yangu. jaribu! omba msamaha kabla ya saa moja kamili kesho. ucpofanya hivyo chagua adhabu kati ya zifuatazo. kushushwa shipa, kupotelewa kabisa na izo zinazokupa kiburi, kufanywa uwe na tamaa ya kukameruniwa, kukameruniwa, kufanywa uwe unatamani kuvaa nguo za kike, kutembea uchi.
 
Is this a great thinkers' ideology?! mmmmh! i doubt it! will always do! nakupenda JF!
 
Unaomba ushauri au unataka tukusifu? Nenda na madhara yake yakikupata usituletee threads za majuto hapa!
 
Back
Top Bottom