Natangaza rasmi: Nakwapua beb wa mtu JF

Natangaza rasmi: Nakwapua beb wa mtu JF

Wakuu,

Nimekuwa nikiona watu wana mabeb zao humu kwa muda mrefu...

Sasa nimekuwa mpweke humu JF kwa muda mrefu!

Sasa natangaza vita kwa watu wenye mabeb zenu kuwa nakwapua mimi.

Hasa wewe Smart @Mahondow Demiss Mshana Jr mnaringa sana.

Ngoja niangalie nani nimwibie ili kelele zenu ziishe ha ha haaa...

Nasema hivii...sijui nimuibie Daby au ngoja nimuibie Shunie..

Bado nipo nawaza hapa nimchukue wa nani...ila kama kuna ambae hana beb humu ajiunge nami tukwapue hahahaa...

Akili za asubuhi za kiporo na chai[emoji3] [emoji125]

Duuu... kama akili za asubuhi zipo hivi? Je za usiku zitakuaje??


Cc: mahondaw
 
Mwanaume kama Smart911 naachaje kuringa kwa mfano ha ha..... msikie tu mambo yake si ya nchi hii ohooooooooo uliza uambiwe kha kha kha khaaaa!! kaza mwendo ufurahie maishaaa... kwa smart teiiiiinaaaaaaaaa!!!!!!!!!!the man is so aaauuuwwwwwss!!!

Acha hizo mahondaw wangu... kaone kalivyo kazuri na katamu... leo jioni ukija sitaki kukuona umenuna na maswali kibao... nitakachokufanya ni zaidi ya peponi...
 
Acha hizo mahondaw wangu... kaone kalivyo kazuri na katamu... leo jioni ukija sitaki kukuona umenuna na maswali kibao... nitakachokufanya ni zaidi ya peponi...


Fact smart I always tell you.. naile juzi si uliona hata wale walisalute???? khakhakhaaaaaaa..

Leo mapema sana natia timu... chochote wewe nifanye tu yani CHOCHOTE kile .. am here just for uuuuuu handsome ! wewe teiiiiinaaaaaaaaa!! sema Kingine
 
Back
Top Bottom