HahaNikwapue mimi eti[emoji3]
Nimekuja PM kumejaa[emoji3]
Haha
Wakuu,
Nimekuwa nikiona watu wana mabeb zao humu kwa muda mrefu...
Sasa nimekuwa mpweke humu JF kwa muda mrefu!
Sasa natangaza vita kwa watu wenye mabeb zenu kuwa nakwapua mimi.
Hasa wewe Smart @Mahondow Demiss Mshana Jr mnaringa sana.
Ngoja niangalie nani nimwibie ili kelele zenu ziishe ha ha haaa...
Nasema hivii...sijui nimuibie Daby au ngoja nimuibie Shunie..
Bado nipo nawaza hapa nimchukue wa nani...ila kama kuna ambae hana beb humu ajiunge nami tukwapue hahahaa...
Akili za asubuhi za kiporo na chai[emoji3] [emoji125]
Haya ni mazuri sana...wewe jiachie tu cheka kama Wana CHADEMA wanavyomcheka Mwigulu keo!
Mwanaume kama Smart911 naachaje kuringa kwa mfano ha ha..... msikie tu mambo yake si ya nchi hii ohooooooooo uliza uambiwe kha kha kha khaaaa!! kaza mwendo ufurahie maishaaa... kwa smart teiiiiinaaaaaaaaa!!!!!!!!!!the man is so aaauuuwwwwwss!!!
Acha hizo mahondaw wangu... kaone kalivyo kazuri na katamu... leo jioni ukija sitaki kukuona umenuna na maswali kibao... nitakachokufanya ni zaidi ya peponi...