Nichumu Nibebike
JF-Expert Member
- Aug 28, 2016
- 8,658
- 15,793
Nikwapue mie. Nipo single digit...Mwanaume wa 'mkoani' yupo...wa Dar thitaki mie[emoji125] [emoji3]
wow nawapenda keMi ke...
Hahaha, ninayo mpaka ya kukununulia moka na makobazi [emoji4]Una hela ya fanta orange...?
Ooh, sawa. Tena nakununulia na kamisi pamoja na kyupi kama ile ya NandyMi nataka yeboyebo ya Bora tena za njano[emoji3]
Maandishi nitalambwa ban. It happened before. Kama ivo stak...Beb ni wa maandishi...sio PM
Mambo dada samahani njoo tucheze mchezo wa kufichana kwenye PM yangu.Wakuu,
Nimekuwa nikiona watu wana mabeb zao humu kwa muda mrefu...
Sasa nimekuwa mpweke humu JF kwa muda mrefu!
Sasa natangaza vita kwa watu wenye mabeb zenu kuwa nakwapua mimi.
Hasa wewe Smart @Mahondow Demiss Mshana Jr mnaringa sana.
Ngoja niangalie nani nimwibie ili kelele zenu ziishe ha ha haaa...
Nasema hivii...sijui nimuibie Daby au ngoja nimuibie Shunie..
Bado nipo nawaza hapa nimchukue wa nani...ila kama kuna ambae hana beb humu ajiunge nami tukwapue hahahaa...
Akili za asubuhi za kiporo na chai[emoji3] [emoji125]
Angekua mstaafu... angesemwa kwamba leo anawashwa washwa...
Daah hapana... ile juzi uliyataka mwenyewe lakini... mimi nimetulia zangu, wewe ukaenda kuni introduce kwa rafiki zako, kumbe nao wanauchu... hahaha...
Hapa hatuna wazee wa kutupa ya kale tena.Mwambie afanye haraka. Napenda sana kuibiwa...