kweli kabisaHuku nimegundua mademu wengi ni wahenga
Na msiendelee kumuita babu... muiteni mzee baba. babu gani haishi meno.Huyu ni mzee baba[emoji3] [emoji3]
Hahaaa. Walahi vile umejua kunichekesha Babu lol.Mwambie afanye haraka. Napenda sana kuibiwa...
Hahaaa. Lolumeshafanikisha zoezi lako?[emoji3]
Njoo kwangu usiibie mtu
Ebungoja nikuwe msomaji tu hapa, maana sijioni kwenye kujitosha kwa shoe ya babes
kweli kabisa kuna bwege mmoja namchukulia mda si mrefu
[emoji23][emoji23][emoji23]Uwe unaniiba mchana, usiku mwenye mali anakuwa nayo
Tena ukiniiba wewe... nakupa ofa kabisa ya kujipeleka kitandani bila shuruti.Hahaaa. Walahi vile umejua kunichekesha Babu lol.
Na hapa nimeamini kweli kiswahili siku zote ni kipana. Hivyo unapenda kuibiwa Babu? Lol
Uuwiiii! Haya bana Babu.Tena ukiniiba wewe... nakupa ofa kabisa ya kujipeleka kitandani bila shuruti.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] upoAcha uongo