Natangaza rasmi: Nakwapua beb wa mtu JF

Natangaza rasmi: Nakwapua beb wa mtu JF

Hahaaa. Walahi vile umejua kunichekesha Babu lol.

Na hapa nimeamini kweli kiswahili siku zote ni kipana. Hivyo unapenda kuibiwa Babu? Lol
Tena ukiniiba wewe... nakupa ofa kabisa ya kujipeleka kitandani bila shuruti.
 
Back
Top Bottom