Natangaza tarehe 01/03/2024 iwe siku ya mandamano ya kukataa mgawo wa umeme Tanzania

REJESHO HURU

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2014
Posts
4,664
Reaction score
9,929
Kiukweli wanaichi tumechoka mbona magufuri aliweza kumaliza tatizo hili na mvua zilikuwa za mapicha picha ila mgao haukuwepo

Wadau karibuni kwa mawazo tuanzie wapi tuishie wapi
 
Tuazie dar
Wazo zuri maana haiwezekani mtu unagiza samaki mwanza wanafika unhifadhi kwenye jokofu umeme unakatika masaa 24 ukirudi masaa matatu wanakata tena tunaishia kutupa samaki unagiza tena mtindo ule ule huu ni mfano mmoja mwenye uhalisia haya mtu anasafiri kutoka mkoani kwenda wizarani Dodoma anafika anambiwa umeme hakuna asubilie umeme urudi kiukweli ina uma
 
Tatizo limeazia kuwekeza kwenye umeme wa maji huu mifumo ya kuzalisha umeme kwa kutumia maji imepitwa na wakati .
 
Tatizo limeazia kuwekeza kwenye umeme wa maji huu mifumo ya kuzalisha umeme kwa kutumia maji imepitwa na wakati .
Tunawaza magufuri aliwezaje kumaliza mgao na alisema wazi kabisa kuwa wale wanaokata kata umeme anawajua wasubutu waone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…