assadsyria3
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 6,905
- 4,054
Achana na baba wa Taifa, una chances nzuri zaidi kushinda kesi ukimshitaki baba yako mzazi kwa kukuzaa.Nataraji kuwasiliana na wanasheria kufungua kesi dhidi ya baba wa taifa kwasababu zifuatazazo,moja alimuuliza nan kutufanya tufate siasa ya ujamaa,pili alimuuliza nan kutuunganisha na zanziba,tatu alimuuliza nan kutumia hela zetu kwa wapigania uhuru bila kutuuliza,nne alimuuliza nan kwamba tunataka serikali mbili akithibitka mahakamani kwamba alikosea alipaswa afanye referendum kwa lolote nitaomba hakimu amnyang'anye cheo cha baba wa taifa
Nataraji kuwasiliana na wanasheria kufungua kesi dhidi ya baba wa taifa kwasababu zifuatazazo;
1. alimuuliza nan kutufanya tufate siasa ya ujamaa,
2. alimuuliza nan kutuunganisha na zanziba,
3. alimuuliza nan kutumia hela zetu kwa wapigania uhuru bila kutuuliza,
4. alimuuliza nan kwamba tunataka serikali mbili
Akithibitka mahakamani kwamba alikosea alipaswa afanye referendum kwa lolote nitaomba hakimu amnyang'anye cheo cha baba wa taifa.
Mfungulie kesi baba yako muulize alikuwa wapi mpaka mama yako akapewa mimba yako na baba yake ambae leo unamwita babu badala ya baba.

Achana na baba wa Taifa, una chances nzuri zaidi kushinda kesi ukimshitaki baba yako mzazi kwa kukuzaa.