Nataraji kumfungulia mashtaka baba wa Taifa

assadsyria3

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
6,905
Reaction score
4,054
Nataraji kuwasiliana na wanasheria kufungua kesi dhidi ya baba wa taifa kwasababu zifuatazazo;

1. alimuuliza nan kutufanya tufate siasa ya ujamaa,
2. alimuuliza nan kutuunganisha na zanziba,
3. alimuuliza nan kutumia hela zetu kwa wapigania uhuru bila kutuuliza,
4. alimuuliza nan kwamba tunataka serikali mbili

Akithibitka mahakamani kwamba alikosea alipaswa afanye referendum kwa lolote nitaomba hakimu amnyang'anye cheo cha baba wa taifa.
 
Ni bora katiba ikatutafsiria kama ni sawa au si sawa kwani nchi ni yetu wananchi na sio ya viongozi na hawawezi kuamua lolote bila kufanya referendum kupata ridhaa yetu na sio zidumu fikra za mwenyekiti
 
Nataraji kuwasiliana na wanasheria kufungua kesi dhidi ya baba wa taifa kwasababu zifuatazazo,moja alimuuliza nan kutufanya tufate siasa ya ujamaa,pili alimuuliza nan kutuunganisha na zanziba,tatu alimuuliza nan kutumia hela zetu kwa wapigania uhuru bila kutuuliza,nne alimuuliza nan kwamba tunataka serikali mbili akithibitka mahakamani kwamba alikosea alipaswa afanye referendum kwa lolote nitaomba hakimu amnyang'anye cheo cha baba wa taifa
Achana na baba wa Taifa, una chances nzuri zaidi kushinda kesi ukimshitaki baba yako mzazi kwa kukuzaa.
 
Akipatikana na hatia tunamfukua halafu tunamnyonga kikatili.
 
duh hawa ndo watz bwana.Jaribu waweza shinda kesi.
 
I will join you, njoo uchukue some funds from me. Nasoma some books zinanifanya nimwelewe vizuri huyu mzee , yaani labda kama wamwite baba wa umaskin na mfumo mbovu wa siasa. Bt hil la taifa hakustahili.
 
Nataraji kuwasiliana na wanasheria kufungua kesi dhidi ya baba wa taifa kwasababu zifuatazazo;

1. alimuuliza nan kutufanya tufate siasa ya ujamaa,
2. alimuuliza nan kutuunganisha na zanziba,
3. alimuuliza nan kutumia hela zetu kwa wapigania uhuru bila kutuuliza,
4. alimuuliza nan kwamba tunataka serikali mbili

Akithibitka mahakamani kwamba alikosea alipaswa afanye referendum kwa lolote nitaomba hakimu amnyang'anye cheo cha baba wa taifa.

Mambo ya kuendekeza stori za kwenye vijiwe vya kahawa!
 
Umeyaona hayo tu kwa baba wa Taifa? Kwan alijadiliana na nan tukapigana na Uganda? Alijadiliana na nan aliposema tunamaadui wa3 ujinga, maradh na umaskini? Alijadiliana na nan wala rushwa wote waadhibiwe vikal

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Mfungulie kesi baba yako muulize alikuwa wapi mpaka mama yako akapewa mimba yako na baba yake ambae leo unamwita babu badala ya baba.
 
Ahahahaha umemaliza usiku wangu kwa tabasamu zuri

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Itabidi kwanza upate mwongozo wa wanasheria juu ya namna ya kumfungulia mashitaka marehemu. Maana kuna mwenzako mwingine huko India alimfungulia kesi Mungu. Lakini mahakama ikamwambiwa mshitakiwa ameshindwa kufika kwenye kesi kwa siku tatu mfululizo na mahakama haijui wapi kwa kumpata. So kesi ikafutwa. Definitely, baba wa taifa akishindwa kufika mahakamani kwa muda fulani itabidi kesi ifutwe. Just thinking aloud.
 
Mfungulie kesi baba yako muulize alikuwa wapi mpaka mama yako akapewa mimba yako na baba yake ambae leo unamwita babu badala ya baba.

Nawe mtu mzima badala ya kutoa mafunzo unatkana. umeumia kiona mtakatifu anaguswa?
 
Nataraji kuwasiliana na wanasheria kufungua kesi dhidi ya baba wa taifa kwasababu zifuatazazo;

1. alimuuliza nan kutufanya tufate siasa ya ujamaa,
2. alimuuliza nan kutuunganisha na zanziba,
3. alimuuliza nan kutumia hela zetu kwa wapigania uhuru bila kutuuliza,
4. alimuuliza nan kwamba tunataka serikali mbili

Akithibitka mahakamani kwamba alikosea alipaswa afanye referendum kwa lolote nitaomba hakimu amnyang'anye cheo cha baba wa taifa.

Halafu ukishinda kesi, ndio iweje!?!

Kwani hicho cheo alipewa na nchi?

Maiti hashtakiwi baba!

Hayo yalikuwa kwenye mahakama za mkoloni!
Kufunga pingu kaburi!
Na hata akinyang'anywa hilo jina ndo iweje!?
Labda atokee wa kum bipu huko aliko.
Amtonye yanayo tokea huku!
 
Mfungulie kesi baba yako muulize alikuwa wapi mpaka mama yako akapewa mimba yako na baba yake ambae leo unamwita babu badala ya baba.

Sasa haya ni matusi yasio faa humu ndani!
Naskia harufu ya BAN! hapa!!
 
Nataraji kuwasiliana na wanasheria kufungua kesi dhidi ya baba wa taifa kwasababu zifuatazazo;

1. alimuuliza nan kutufanya tufate siasa ya ujamaa,
2. alimuuliza nan kutuunganisha na zanziba,
3. alimuuliza nan kutumia hela zetu kwa wapigania uhuru bila kutuuliza,
4. alimuuliza nan kwamba tunataka serikali mbili

Akithibitka mahakamani kwamba alikosea alipaswa afanye referendum kwa lolote nitaomba hakimu amnyang'anye cheo cha baba wa taifa.

hivi hii ilikuwa ndoto ya mchana au umekusudia?!
 
Back
Top Bottom