Natarajia ugeni mzito sikukuu hii kutoka jf (manzi)

Natarajia ugeni mzito sikukuu hii kutoka jf (manzi)

Hahahahaha mimi nimeanza kuishi maisha ya getho toka form 1 lazima ningejua tu..na nikiwa shule ya msingi bi mkubwa alikua anakikundi cha kupika sasa nazunguka nao nilikua napata mawili matatu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera kiongozi.
Mimi sikuwa mpikaji kabisa! Mara ya kwanza kujifunza kipindi nipo Chuo (hostel) washikaji walikuwa wananifundisha kupika Ugali. Sasa Chuo chenyewe nimemaliza muda nimekuwa mtu wa kuweka order tu. Changamoto inakuja kuna baadhi ya vyakula navipenda sana ila kupika siwezi kama kuku wa kupaka (kama nimetaja vibaya nisamehe) maandazi laini, na vinginevyo. Huwa navikosa najisikia vibaya kweli kweli. Mwezi huu nimeamua kujifunza tu. Uzuri wali kuna rice cooker!
 
Mmmhh sawa Lkn kwa mbali karoho kananiuma, watu Wanakula Mema ya nchi Mimi natazama [emoji38][emoji38][emoji38][emoji134]
Heee Mbona tunaferi Sasa si tupeane hvyo vibarua [emoji3][emoji38][emoji38]
Yaani life isnt fair kabisa, tuendelee tu kutafuta vibarua mpendwa. Tusikate tamaa.
 
Hongera!

Mimi ndiyo naanza kujifunza kupika, nime-subscribe YouTube channel za mapishi niende hatua kwa hatua. Chakula ninachokipika hakifai kuliwa na yeyote kwa sasa isipokuwa mimi mwenyewe maana!!!!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kazana tu hadi kieleweke.
 
Umenichekesha mno Mkuu..

Sent using Jamii Forums mobile app
Unafikiri! Naandika kwa vile sijulikani kiuhalisiya ila kiukweli ni aibu sana.

Kupika ugali sijui, wali ukinipa jiko sijui labda msaada wa rice cooker...
Nisiende mbali sana ninachojua kupika ni kuchemsha mihogo, viazi vitamu na kuvikaanga. Kukaanga na kuchemsha mayai na kuyapika. Tambi za kupika.

Nipo training ya YouTube mapishi sasa hivi. Halafu napenda vyakula vizuri balaa..
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkuu nimecheka hiyo story yako ila mwanaume kutokujua kupika siyo aibu kiasi hicho kama unavyoelezea bhana tofauti na kwetu sisi wanawake, just take your time jifunze taratibu tu utajua.
 
Safiii..pia mambo kama kuchange diper za watoto ni muhimu kujifunza pia, ipo siku unaamaka unakuta umeachiwa mtoto ndani mama mtu kaenda kwingine

@jael
Hongera kiongozi.
Mimi sikuwa mpikaji kabisa! Mara ya kwanza kujifunza kipindi nipo Chuo (hostel) washikaji walikuwa wananifundisha kupika Ugali. Sasa Chuo chenyewe nimemaliza muda nimekuwa mtu wa kuweka order tu. Changamoto inakuja kuna baadhi ya vyakula navipenda sana ila kupika siwezi kama kuku wa kupaka (kama nimetaja vibaya nisamehe) maandazi laini, na vinginevyo. Huwa navikosa najisikia vibaya kweli kweli. Mwezi huu nimeamua kujifunza tu. Uzuri wali kuna rice cooker!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulighairi kutengeneza kuku vile ulivyodhamiria?
Sauce tayarii..chiken garlic nini sijui[emoji23][emoji23]
20200412_165116.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom