Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
- Thread starter
-
- #221
[emoji16][emoji16] teh, nimefika mwika.
Umenichekesha mno Mkuu..Hongera!
Mimi ndiyo naanza kujifunza kupika, nime-subscribe YouTube channel za mapishi niende hatua kwa hatua. Chakula ninachokipika hakifai kuliwa na yeyote kwa sasa isipokuwa mimi mwenyewe maana!!!!
Abee
Hongera kiongozi.Hahahahaha mimi nimeanza kuishi maisha ya getho toka form 1 lazima ningejua tu..na nikiwa shule ya msingi bi mkubwa alikua anakikundi cha kupika sasa nazunguka nao nilikua napata mawili matatu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani life isnt fair kabisa, tuendelee tu kutafuta vibarua mpendwa. Tusikate tamaa.Mmmhh sawa Lkn kwa mbali karoho kananiuma, watu Wanakula Mema ya nchi Mimi natazama [emoji38][emoji38][emoji38][emoji134]
Heee Mbona tunaferi Sasa si tupeane hvyo vibarua [emoji3][emoji38][emoji38]
Ulighairi kutengeneza kuku vile ulivyodhamiria?Kilichobaki ni kuandaa souce na vinywaji..kazi imekaribia mwishoView attachment 1417272
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hongera!
Mimi ndiyo naanza kujifunza kupika, nime-subscribe YouTube channel za mapishi niende hatua kwa hatua. Chakula ninachokipika hakifai kuliwa na yeyote kwa sasa isipokuwa mimi mwenyewe maana!!!!
shukrani mkuu kitambo sanaHeri ya pasaka nawe pia kiongozi
Ndiyo nakaribia, hivi kwanza hata upo Moshi kweli au upo Dar maana mie nimeropoka tu.
Unafikiri! Naandika kwa vile sijulikani kiuhalisiya ila kiukweli ni aibu sana.
[emoji3526][emoji3526] nakuaminiaHahahah situmii wala sijawahi kutumia pombe
wooowkabisa..
yaani mnasimamia kucha ukitoka hapo kitumbua kimeumuka,macho hayafunguki,miguu inatetemeka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkuu nimecheka hiyo story yako ila mwanaume kutokujua kupika siyo aibu kiasi hicho kama unavyoelezea bhana tofauti na kwetu sisi wanawake, just take your time jifunze taratibu tu utajua.Unafikiri! Naandika kwa vile sijulikani kiuhalisiya ila kiukweli ni aibu sana.
Kupika ugali sijui, wali ukinipa jiko sijui labda msaada wa rice cooker...
Nisiende mbali sana ninachojua kupika ni kuchemsha mihogo, viazi vitamu na kuvikaanga. Kukaanga na kuchemsha mayai na kuyapika. Tambi za kupika.
Nipo training ya YouTube mapishi sasa hivi. Halafu napenda vyakula vizuri balaa..
Hongera kiongozi.
Mimi sikuwa mpikaji kabisa! Mara ya kwanza kujifunza kipindi nipo Chuo (hostel) washikaji walikuwa wananifundisha kupika Ugali. Sasa Chuo chenyewe nimemaliza muda nimekuwa mtu wa kuweka order tu. Changamoto inakuja kuna baadhi ya vyakula navipenda sana ila kupika siwezi kama kuku wa kupaka (kama nimetaja vibaya nisamehe) maandazi laini, na vinginevyo. Huwa navikosa najisikia vibaya kweli kweli. Mwezi huu nimeamua kujifunza tu. Uzuri wali kuna rice cooker!
Ulighairi kutengeneza kuku vile ulivyodhamiria?
Ndiyo nakaribia, hivi kwanza hata upo Moshi kweli au upo Dar maana mie nimeropoka tu.
Sauce tayarii..chiken garlic nini sijui[emoji23][emoji23]Ulighairi kutengeneza kuku vile ulivyodhamiria?
Mkuu mbona hutupi mrejesho?Nipo dasilamu..nilitaka kwenda moshi ndugu wakakataa,,wamesema nataka kuwapelekea wazee corona[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app