Natarajia ugeni mzito sikukuu hii kutoka jf (manzi)

Natarajia ugeni mzito sikukuu hii kutoka jf (manzi)

Ila pampula kwa kupika huku si ndio basi tena[emoji134][emoji134][emoji134]
Nitakwenda kweli Marangu kula mbusi?
 
Kama umemkaribisha mwanamke wa jf sababu uliona tu profile picha yake nakushauri wakati wa kumpokea kama ni kituoni fika kabla yake ili akifika ujiridhishe kwanza package yote iko sawa au laa. Ukimuelekeza home moja kwa moja unaweza juta sana.
 
Mvua sio Sababu kaka achukue Uber bhanaa [emoji23][emoji23] Fanya hima kesh pia holiday Siunajua
Mimi Nimeshagive Up na Hawa viumbe
Am officially Mpenz mtazamaji [emoji38][emoji38]
Msitufanyie hivyo jamani.

Kumbuka kuna mapadri, mashoga,impotent jalafu muongezeke na nyie wa kugive up itakuwaje sasa[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mkuu umenichekesha mnooo.... nilishamvidio kolu, labda kama aliniingiza chaka,

Lakini mkuu k vant zikishafika sehemu yake kila mtoto si anaonekana kama emma watson
Kama umemkaribisha mwanamke wa jf sababu uliona tu profile picha yake nakushauri wakati wa kumpokea kama ni kituoni fika kabla yake ili akifika ujiridhishe kwanza package yote iko sawa au laa. Ukimuelekeza home moja kwa moja unaweza juta sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom