Nami nataka mwaliko kama wa huyo bwana, sio huu wa kula kwa macho.Nikualike mara ngapi...usije nichinjia baharini tu...[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kavideo kafupi ikiwezekana
Hujambo mkuu?Kavideo kafupi ikiwezekana
Msitufanyie hivyo jamani.Mvua sio Sababu kaka achukue Uber bhanaa [emoji23][emoji23] Fanya hima kesh pia holiday Siunajua
Mimi Nimeshagive Up na Hawa viumbe
Am officially Mpenz mtazamaji [emoji38][emoji38]
Nami nataka mwaliko kama wa huyo bwana, sio huu wa kula kwa macho.
Ila pampula kwa kupika huku si ndio basi tena[emoji134][emoji134][emoji134]
Nitakwenda kweli Marangu kula mbusi?
Wadau wapo..Uenda mgeni mwenyewe akatoa ushirikiano
Msitufanyie hivyo jamani.
Kumbuka kuna mapadri, mashoga,impotent jalafu muongezeke na nyie wa kugive up itakuwaje sasa[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Nipo mkuu..Heri ya pasakaHujambo mkuu?
Kama umemkaribisha mwanamke wa jf sababu uliona tu profile picha yake nakushauri wakati wa kumpokea kama ni kituoni fika kabla yake ili akifika ujiridhishe kwanza package yote iko sawa au laa. Ukimuelekeza home moja kwa moja unaweza juta sana.
Happy ending ndio mpango mzima.Huo mwaliko wa namna hiyo unakuaga na happy ending.... hakuna ugentromeni[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Wacha we!![emoji23][emoji23][emoji23]hamna ni professional yangu hyo[emoji41], hyatt pale wanahitaji sana huduma yangu kama master chef
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijapata aisee,I was waiting for your invitation, ila nikaona kimyaa imebidi niendelee kupiga usingizi tu hapa,jf nialikeni basi huwa sili sanafinancial services ushapata mwaliko??
Happy ending ndio mpango mzima.
Sijapata aisee,I was waiting for your invitation, ila nikaona kimyaa imebidi niendelee kupiga usingizi tu hapa,jf nialikeni basi huwa sili sana
Hiyo kitimoto naitamanii.
Happy Easter mkuu, enjoy.
Kumbe ni mabaharia!! Basi wajiunge tu na hao wengine.
Na kwako pia, familia haijambo?Nipo mkuu..Heri ya pasaka
Wako poa..Hatualikani?Na kwako pia, familia haijambo?