Natatuaje tatizo la mboga mboga kwa kuku ikiwa mboga zinauzwa gharama?

Ushauri wa kudumu, usifuge kuku wa kienyeji au chotara ukiwa mjini. Kuna limit factors nying sana kwa hiyo biashara kukulipa nadhan mwenyewe umeona hasara unayoipata.

Km uko vzr kimtaji salama yako ni either kufuga boilers au layers kwa mjini hapo sasa ndo penyewe na faida utaiona. Muda haunitoshi kuingia ndani zaidi ila kwa sasa ni hayo..!
 
Mi napitaga kwenye gulio mida ya saa nne usiku...unapata mabaki mabaki...wanakukusanyia kiroba buku...
 
Kuku wa kienyeji wanafugwa free range, hii ya kuwakatia majani ni mambo ya Backyard yaani una kuku 7 hadi 20, Ila kuku hawakatiwi majani bali wanachunga wenyewe kwenye shamba ambalo u akuta lina majanani na lina mwagiliwa kila mara ili pia wapate minyooo
 
Kuku wana fugwa either ndani kwa ndani au free range, sasa hii ya kuwafungia bandani eti unawakayia majani kama Ng'ombe ni kujipa kazi ambazo hazina tija kabisa.

Na sio majani yote kuku wakila watataga mayai yenye kiini cha njano hapana ni majani yenye yellow pigments pekee, sasa sio mboga zote zina yellow pigments
 
Kuna kitu kinaitwa hydroponic fodder nenda YouTube utaona njia nyepesi ya kuzalisha majani....tena utapunguza matumizi ya chakula kwa kuku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…