Strive
Member
- Jul 1, 2022
- 88
- 110
Ushauri wa kudumu, usifuge kuku wa kienyeji au chotara ukiwa mjini. Kuna limit factors nying sana kwa hiyo biashara kukulipa nadhan mwenyewe umeona hasara unayoipata.Nafuga kuku wa kienyeji Jkisema ulishe mboga za majani za sokoni Utajikuta unapata hasara kubwa sana
kwanza
-Wanakua taratibu sana ( hivo gharama kuwakuzA)
-Soko la kusua sua
-Bei zake si kubwa kama jinsi ya ulivyowakuza
Je kuna mbadala wa mboga majani?
Km uko vzr kimtaji salama yako ni either kufuga boilers au layers kwa mjini hapo sasa ndo penyewe na faida utaiona. Muda haunitoshi kuingia ndani zaidi ila kwa sasa ni hayo..!