jaridotcom
Member
- Jan 31, 2012
- 6
- 0
Jamani Habarini zenu wanajamiii mm ni mgeni hapa jamvini,mm ni kijana (mvulana) mwenye miaka 29 ninaelimu ya Chuo (Single Degree) na tayari nimeshaajiliwa nafanya kazi ila katika maisha yangu naona nimepungukiwa na mke mwema kwa hiyo natoa fulsa kwa Binti mwenye sifa zifuatazo...Awe na Elimu kuanzia 4m 4 na kuendelea awe mkiristo,awe na umri chini ya 25,kama hajaajiriwa awe na uwezo wa kusimamia Biashara (awe mjasilia mali),zaidi ya yote awe na mapenzi ya kweli na mengine tutayamalizia tukikutana ana kwa ana.