Natauta mchumba

Natauta mchumba

jaridotcom

Member
Joined
Jan 31, 2012
Posts
6
Reaction score
0
Jamani Habarini zenu wanajamiii mm ni mgeni hapa jamvini,mm ni kijana (mvulana) mwenye miaka 29 ninaelimu ya Chuo (Single Degree) na tayari nimeshaajiliwa nafanya kazi ila katika maisha yangu naona nimepungukiwa na mke mwema kwa hiyo natoa fulsa kwa Binti mwenye sifa zifuatazo...Awe na Elimu kuanzia 4m 4 na kuendelea awe mkiristo,awe na umri chini ya 25,kama hajaajiriwa awe na uwezo wa kusimamia Biashara (awe mjasilia mali),zaidi ya yote awe na mapenzi ya kweli na mengine tutayamalizia tukikutana ana kwa ana.
 
Miaka 29 sio mvulana bana ni mwanaume, au bado hujakua upstairs?

Nwy Biashara ya kusimamia ipo tayari?
Hamna vigezo vya tabia na muonekano?
 
Nilisema awe na mapenzi ya dhati nikiamini akiwa hivyo tabia yake ni nzuri......sura sijari sana lakini isiwe ya kidume sasa.
 
Nilisema awe na mapenzi ya dhati nikiamini akiwa hivyo tabia yake ni nzuri......sura sijari sana lakini isiwe ya kidume sasa.

Hata mlevi, mchafu, mmbea n.k anaweza akawa na mapenzi ya dhati.Je hizo sifa sio kikwazo kwako?
 
Miaka 29 sio mvulana bana ni mwanaume, au bado hujakua upstairs?

Nwy Biashara ya kusimamia ipo tayari?
Hamna vigezo vya tabia na muonekano?
Yaaah Biashara ipo tayari,kuhusu tabia nimesema awe na mapenzi ya Dhati,sura siangalii sana lakini asiwe na sura imesimama sana kama ya mwanaume........kwa mwenye sifa ani PM tupeane no au njia nyingine ya kuwasiliana.
 
Mi navigezo karibia vyote bt muislam kama vp badili dini, teh teh
 
Miaka 29 sio mvulana bana ni mwanaume, au bado hujakua upstairs?

Hapo ndio utofautishe kati ya ''mtoto wa kiume'' na ''mwanaume'' then jipange chaguo lako ni lipi kabla hujaenda mbali. Age iendane na upstairs vinginevyo utakua na ''mtoto mkubwa badala ya mume''
 
Mi napingana na wewe kwa kuchagua m2 wa 4m4, sasa hao wa std 7 waolewe na nani huoni kama unazidi kuleta gap kati ýa walionacho na wasionacho.Ungeoa wa std 7 ili ukimpa mtaji at
 
kuwa majini sana,mm nilikutana na mwenzangu kwa njia km hizi na tunawacliana vzr sana ila kwa ss yupo ughaibun kwa ajili ya kazi, huwezi amini tunapenda sana na tunaheshimiana sana.nampenda ananipenda pia na hv ss tuna mtt 1. na huwezi amin yuko vzr kila idara familia na yeye mwenyewe pia ingawa hatupishan sana kipato. mm ni a/c na yy ni muhandisi.haya safari yenye mafanikio
 
Back
Top Bottom