mkuu nitajie Mambo makubwa mawili yaliyofanywa ktk mkoa ninaoishi huu wa shinyanga!Sema wewe sio watz wote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu nitajie Mambo makubwa mawili yaliyofanywa ktk mkoa ninaoishi huu wa shinyanga!Sema wewe sio watz wote
Wewe akili kisoda, kama anaweza kuichambua sheria na kuwashinda mapilato wetu huko mahakamani, atashindwaje kuifafanua irani ya chama?Ana cha kuongea sasa hapo ukute hata ilani ya chama haijui anachojua yeye ni kutukana nchi yake na viongozi basi huyu na alaaniwe.
CCM imefanya mambo makubwa ndani ya hii miaka 5 ya Rais Magufuli na hili wananchi wote wanalijua.
Tundu Lissu amekuwa ni mtu wa kulalamika na kushutumu huku akipinga kila jambo litendwalo na CCM. Nampa tu angalizo kuwa urais wa JMT siyo sawa na ule wa TLS, watanzania watataka kusikia malengo yake na siyo malalamishi yake.
Tupingane kwa hoja na data na tusionyeshane ubingwa wa kutema povu, maana Lissu povu ndio zake.
Nawatakia kila la kheri, tukutane kwenye kampeni.
Maendeleo hayana vyama!
cc: Daudi Mchambuzi Pascal Mayalla na mmawia & mrangi
kwa kudesa yuko vizuri kama juzi tu hapa alikuja kuzindua kiwanda kinapiga kazi tangia utawala wa marehemu nkapa atashindwa kweli kudesa miradi ya kikwete?... wata-desa hayo hayo.
Mkuu hivi haya mengi yaliyofanywa na ccm awamu hii ni yapi kiasi kwamba jpm aonekana kafanya kazi kubwa mno ndani ya hii miaka 5?? Binafsi sijaona kilichobadilika zaidi ya pesa kuadimika tu.CCM imefanya mambo makubwa ndani ya hii miaka 5 ya Rais Magufuli na hili wananchi wote wanalijua.
Tundu Lissu amekuwa ni mtu wa kulalamika na kushutumu huku akipinga kila jambo litendwalo na CCM. Nampa tu angalizo kuwa urais wa JMT siyo sawa na ule wa TLS, watanzania watataka kusikia malengo yake na siyo malalamishi yake.
Tupingane kwa hoja na data na tusionyeshane ubingwa wa kutema povu, maana Lissu povu ndio zake.
Nawatakia kila la kheri, tukutane kwenye kampeni.
Maendeleo hayana vyama!
cc: Daudi Mchambuzi Pascal Mayalla na mmawia & mrangi
Kumbe ccm ipo kwa miaka5 tu haya bwana mahaba niue ya mwenyekiti kwani we toka umezaliwa una miaka mitano tu.CCM imefanya mambo makubwa ndani ya hii miaka 5 ya Rais Magufuli na hili wananchi wote wanalijua.