Uchaguzi 2020 Nategemea kumuona Tundu Lissu akitufafanulia ilani ya CHADEMA badala ya kulalamika lalamika wakati wa kampeni!

Ana cha kuongea sasa hapo ukute hata ilani ya chama haijui anachojua yeye ni kutukana nchi yake na viongozi basi huyu na alaaniwe.
Wewe akili kisoda, kama anaweza kuichambua sheria na kuwashinda mapilato wetu huko mahakamani, atashindwaje kuifafanua irani ya chama?
 
Usimpangie cha kufanya wakati wa kampeni TAL siyo wa kupangiwa cha kuongea.


Ukiwa kama kada wa CCM ktk kampeni usimsahau mzee wa uno atakuwa anabeba ilani ya ccm muda wote akiwa kwenye msafara wa JPM
 
... wata-desa hayo hayo.
kwa kudesa yuko vizuri kama juzi tu hapa alikuja kuzindua kiwanda kinapiga kazi tangia utawala wa marehemu nkapa atashindwa kweli kudesa miradi ya kikwete?
 
Kwenye uchaguzi huu tuwaache wanasiasa wapambane, polis kaeni pembeni, msajili atulie tuliiii.wananchi wataamua kwenye sanduku LA kura nani wanamtaka
 
Tunaomba development vission ya kufikia 2025 na progress yake ipoje kuelekea miaka mitano iliyobaki
 
Mkuu hivi haya mengi yaliyofanywa na ccm awamu hii ni yapi kiasi kwamba jpm aonekana kafanya kazi kubwa mno ndani ya hii miaka 5?? Binafsi sijaona kilichobadilika zaidi ya pesa kuadimika tu.
Kwa mimi kikwete alifanya zaidi ya haya sioni cha ajabu alichofanya jpm vingi ni wajibu wa serikali na vingine vingi havijatekelezwa achilia mbali kufanywa kidogo na kukuzwa na wanasiasa uchwara
Jpm anakuzwa zaidi ya uhalisia na hii yote ni kwasababu hakosolewi
 
Kumbe ccm ipo kwa miaka5 tu haya bwana mahaba niue ya mwenyekiti kwani we toka umezaliwa una miaka mitano tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…