Nategemea pia majengo ya zama.ni ya Zanzibar nayo yavunjwe kama kariakoo.

Nategemea pia majengo ya zama.ni ya Zanzibar nayo yavunjwe kama kariakoo.

MakinikiA

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2017
Posts
5,840
Reaction score
8,202
Sina maelezo mengi zaidi ya haya hapa.
Kuvunja majengo ya kale ni ishara ya kubomoa nguvu asili ya mizimu.

Nilikatazwa kubomoa nyumba aliyojenga babu nikaonyeshwa shamba na kuambiwa chagua pa kujenga nyumba niitakayo........
 
Mkuu kunatofauti kati ya majengo ya Zanzibar mjini!!!
Na majengo ya kariakoo

Baadhi ya miji ya Zanzibar ipo chini
UNESCO kama urithi wa Dunia ❗

Kwaiyo kutokubomolewa kwake hakutokei tu kutokea Serikali ya Zanzibar
bali ni kutokea UNESCO✍️
 
Mji wa Zanzibar jinsi ulivyojengwa unaweza kuwa uko Brazil na unaweza kudhani upo Zanzibar sababu miji inafanana kila kitu ukubwa wa mitaa usanifu wa majengo

Yani itakushangaza kujua kumbe Waarabu Walitawala mpaka Brazil 🇧🇷
 
Back
Top Bottom