MakinikiA JF-Expert Member Joined Jun 7, 2017 Posts 5,840 Reaction score 8,202 Oct 5, 2026 #1 Sina maelezo mengi zaidi ya haya hapa. Kuvunja majengo ya kale ni ishara ya kubomoa nguvu asili ya mizimu. Nilikatazwa kubomoa nyumba aliyojenga babu nikaonyeshwa shamba na kuambiwa chagua pa kujenga nyumba niitakayo........
Sina maelezo mengi zaidi ya haya hapa. Kuvunja majengo ya kale ni ishara ya kubomoa nguvu asili ya mizimu. Nilikatazwa kubomoa nyumba aliyojenga babu nikaonyeshwa shamba na kuambiwa chagua pa kujenga nyumba niitakayo........
M mdogoee JF-Expert Member Joined Mar 2, 2026 Posts 4,079 Reaction score 5,810 Oct 5, 2026 #3 MakinikiA said: Sina maelezo mengi zaidi ya haya hapa. Kuvunja majengo ya kale ni ishara ya kubomoa nguvu asili ya mizimu. Nilikatazwa kubomoa nyumba aliyojenga babu nikaonyeshwa shamba na kuambiwa chagua pa kujenga nyumba niitakayo........ Click to expand... Mkuu kunatofauti kati ya majengo ya Zanzibar mjini!!! Na majengo ya kariakoo Baadhi ya miji ya Zanzibar ipo chini UNESCO kama urithi wa Dunia ❗ Kwaiyo kutokubomolewa kwake hakutokei tu kutokea Serikali ya Zanzibar bali ni kutokea UNESCO✍️
MakinikiA said: Sina maelezo mengi zaidi ya haya hapa. Kuvunja majengo ya kale ni ishara ya kubomoa nguvu asili ya mizimu. Nilikatazwa kubomoa nyumba aliyojenga babu nikaonyeshwa shamba na kuambiwa chagua pa kujenga nyumba niitakayo........ Click to expand... Mkuu kunatofauti kati ya majengo ya Zanzibar mjini!!! Na majengo ya kariakoo Baadhi ya miji ya Zanzibar ipo chini UNESCO kama urithi wa Dunia ❗ Kwaiyo kutokubomolewa kwake hakutokei tu kutokea Serikali ya Zanzibar bali ni kutokea UNESCO✍️
M Mtutuwandei JF-Expert Member Joined Jun 28, 2022 Posts 2,153 Reaction score 3,140 Oct 5, 2026 #4 Ya Zanzibar yanaanguka yenyewe. Mengi hayana matunzo.
M mdogoee JF-Expert Member Joined Mar 2, 2026 Posts 4,079 Reaction score 5,810 Oct 5, 2026 #5 Mji wa Zanzibar jinsi ulivyojengwa unaweza kuwa uko Brazil na unaweza kudhani upo Zanzibar sababu miji inafanana kila kitu ukubwa wa mitaa usanifu wa majengo Yani itakushangaza kujua kumbe Waarabu Walitawala mpaka Brazil 🇧🇷
Mji wa Zanzibar jinsi ulivyojengwa unaweza kuwa uko Brazil na unaweza kudhani upo Zanzibar sababu miji inafanana kila kitu ukubwa wa mitaa usanifu wa majengo Yani itakushangaza kujua kumbe Waarabu Walitawala mpaka Brazil 🇧🇷